Sasa bulaza samahani lkn Malaya wa elfu 8 kweli unataka awe sasa na wa elfu 50???
Harafu unalalamika mchafu?
Kiufupi wewe ulichukua mateja sijui bugururi au Kinondoni pole sana Dogo
Siku nyingine andaa kama laki hivi nenda bar za maana kama samaki ,lacharz,boardroom na zingine utasimulia
Habari
Wakuu naomba kuwakilisha hili suala la usafiri wa abiria hasa tumezoea kusema daladala kwa upande wa mkoa wa Mwanza zimezidi kuwekewa Tinted
Yaani asilimia kubwa zimewekewa tena nyeusi hasa
Tafadhari hata kama gari zenu lakini mnabeba abiia iweje mchana tu hata kuona nje inakuwa shida...
Wakuu samahani naomba kujua tafsiri ya neno PISI linatumiwa sana Mawingu studio na Millard kwa walimbwende wa Mashindano ya Taifa!
Na kama haijakaa sawa kutumiwa kwa walimbwende hawa inakuwaje baraza la sanaa wamekaa kimya?
Kama Taifa ndio tumefikia kutumia maneno ya mtaani kwenye mambo ya...
Ungejua namna gani hata mambo yanapasua vichwa vya viongozi wa ccm sasa hivi usingesema hivyo bro!
Hili ni tatizo unless otherwise Mh Ndugai awabebe hao wabunge 19 kama alivyofanya kwa kina Lijualikali
Lakini ukiangalia kwa umakini kuna shida mahali nahisi pia linaleta uzito hata kwa Mkuu...