Recent content by matonyamswanu

  1. M

    TANZIA Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

    Wangesilimu yasingewakuta. Ona wote hawa wagalatia watupu, Ndugai, Ndasa, Ndugulile, Kijazi, Magufuli, Mafuru, Jenister, Mfugale, nk: Hadi 2030 watabaki wa Macca na Madina watupu.
  2. M

    Wazazi tubadilike, tuache kuwapa watoto majina ya kizamani. Kuna majina yamepitwa na wakati

    Hivi kuna mzungu anaitwa Wambura, au Matonya au Mwakalukwa au Byalugaba ? Mwafrica hakuna kitu chake anachokithamini kuanzia Rasilimali, vyakula madini hata akili yake tu yenyewe haithamini. Kila cha maana ni cha nje, au waarabu ama wazungu. Tuna majina mazuri sana ya kikwetu ya ASILI. Hiyo...
  3. M

    Lissu awasilisha maombi kwa hati ya dharura Mahakama ya Rufani

    Wewe ndo hukuona , aliweka tangu mwanzo. Labda ulitaka kusema tofauti mkuu.
  4. M

    Zanzibar kuanza kuagiza mchanga kutoka Tanzania Bara

    Kama mchanga ni wetu sote Mtanganyika kanunue ardhi Zanzibar kama utaruhusiwa. Nawaza kuwa tuendako Tanganyika itabomoka na kuharibiwa kabisa na Zanzibar kiuchumi, kiasi cha kwenda kukopa huko huko Zanzibar.
  5. M

    Je, Wanajeshi wa Tanzania Wanakufa kama Nzi huko Congo? Mbona Wananchi hatujulishwi

    Baada ya kusoma comments zote humu, nimegundua yafuatayo. 1: Watanganyika hawana tena Ari, uzalendo na hamasa ya kuilinda nchi yao kama miaka ya 1960 hadi 1990. 2: Vita ikitokea sasa hivi kati ya Tanzania na nchi jirani, raia/wananchi wako tayari kuwaunga mkono nchi jirani ikiwa...
  6. M

    Dodoma: Rais Samia azindua Makao Makuu ya ULINZI wa Taifa

    Hivi kweli unaona fahari kuua !!!!! kwa kuwa tu wewe ni Mzanzibar unafurahia kuwateketeza Watanganyika.
  7. M

    PostGE2025 Balozi wa Umoja wa Ulaya akiri EU imeanza kuweka vikwazo kwa Serikali ya Tanzania baada ya Uchaguzi wa 2025

    Sawa kabisa mkuu. Acheni sasa ziara za huyo makombo, sijui kombo kwa dunia nzima kubembeleza wazungu, akila posho ambazo ni kodi na jasho la Watanganyika wengi wasio na maji Barabara wala matundu ya vyoo vya shule zenye watoto 1500 na walimu 5 tu.
  8. M

    Umoja wa Mataifa wataka Serikali ya Tanzania kumuachia Tundu Lissu. Wasema kushikiliwa kwake ni batili

    Lupango/jela Tanzania zinaandaliwa kimkakati kuwakomoa wapinzani. Ila kifo hasa kwa dictators, huamuliwa na MUNGU mkuu mwenye haki asiyeonea wala kupendelea
  9. M

    Watanganyika wengi hawapendi Muungano Tena. Bila Muungano, wanasema, Watanganyika wasingeuawa kwa namna hii ya kutisha

    Ninakubali sana sera, itikadi na uongozi wa Nyerere isipokuwa Muungano tu. Ninauchukia kuliko mavi. Ningekuwa na uwezo ningemfufua na kumtandika viboko 12 kwa hilo tu. Mengine alikuwa kwangu excellent.
  10. M

    Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

    Drama tu hana jipya huyo Augustino. Mdogo wake katekwa sasa karibu miezi sita, yeye anabadili story kila siku. Mpaka ninaanza kuhisi naye ni wale wale tu.
  11. M

    Mawakili wa Jamuhuri wasipokuwa makini watairahisishia kazi ICC, maana wanataka kuingiza mahakamani mambo ya Oktoba 29

    Tundu Lissu: Mheshimiwa jaji naomba kumuuliza shahidi kuhusu mauaji ya 29/10/2025. Nani ana mamlaka ya kisheria kutoa amri kuuwa kwa risasi, hapa Tanzania. Swali la pili. Mahakama ipo tayari Kupokea ushahidi wa sauti na picha ili kuthibitisha kuwa vyombo vya dola viliuwa. Swali la tatu...
  12. M

    PostGE2025 Lissu akiwa kizimbani: Ninachukizwa na nyie mapandikizi ya Polisi mnaletwa hapa halafu mnafichwa ndani ya Kizimba

    Mwendazake alikata mirija ya wenzake na MUNGU aliye fundi akakata mirija ya mwendazake chap.
  13. M

    Mtanzania anasema alipata $35,000 kuingia jeshi la Russia na analipwa $3,000 kila mwezi. Kwa gharama gani lakini?

    Ndugu/mtoto wangu haendi hata angelipwa million 300 kwa mwezi. Ni kufanya biashara ya uhai na pesa, hivyo unachagua kutajirika kwa uhai wa ndugu au mtoto. Simruhusu ng'o.
Back
Top Bottom