Recent content by MATONYA new

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais anatoa wapi fedha za kuanzisha Samia scholarship? Tuache mchezo na fedha za umma kisiasa. Fedha zirudishwe HESLB!

    Usitudanganye, na umechanganya maddesa, 2012 hakuwa that popular, Yule NI mama SALMA KIKWETE, na wale walikuwa mabinti waathirika WA UKIMWI kupitia mradi wao WA Mama Salma Foundation ambo ulikuwa mradi WA wake za Marais wote wa Aftika kipindi hicho kupigana vita dhidi ya UKIMWI.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Gari yangu inakimbia sana!

    Kifo kinakuita
  3. M

    JamiiForums Tanzania Asante kanisa Anglican Dayosisi ya Dodoma kwa kuongeza alama ya utambulisho wa jiji la Dodoma

    Pongezi kwa kanisa Anglican dayosisi ya Dodoma kwa kuongeza land mark ya jiji la Dodoma kwa kuzindua SAFINA HOUSE
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tafsiri na uchambuzi Mkataba wa Bandari Tanzania na Dubai

    Nitarudi baadae, ngoja niagize safari
  5. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Maximillian Machumu: Mkataba wa Bandari tunasema HAPANA

    Huku tunakokwenda tutaamsha yaliyolala
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dodoma

    Fanya Kuni pm fasta
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tegeta high school those days

    Present
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hesabu za Bashe na Serikali yako zimegoma. Muda sio mrefu utaachia ngazi!

    Hao wakulima wanao tetewa nao pia hawauzi kwa faida kubwa maana soko huria ndilo linalo bashiri bidhaa iuzwe kwa bei gani Hivyo wakulima bado wanauza mazao yao kwa bei ya chini Then middlemen wanaofanya hii biashara siyo watanzania, ni watu wa kutoka nje Magari yanayo safirisha mzigo, siyo ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nisome Kozi Gani Hapa?

    Nenda kasome hiyo kozi tour guide and tourism itakusaidia pakubwa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Chuma, happy birthday John Pombe Magufuli

    Happy birthday jembe, happy birthday JPM
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa na mwenyeji wangu naomba msaada wa hifadhi Dodoma

    Nipo Dodoma Nipo tayari kukusaidia Naomba unitafute Pm Pia nitaomba kuona vyeti vyako originals Uje pm Ukinikosa leo, kesho nitafute
Back
Top Bottom