Naomba msaada wa kupata sehemu ya kufanyia field

Tiffay

JF-Expert Member
Sep 30, 2022
220
308
Field

Habari, nilikuwa naomba msaada wa kupata sehem ya kufanyia field course Taxation
 
Kama unasoma ifm andika tu project Saivi field zimekuwa kama ajira unazunguka kama unatafuta kazi
Yani watu wana sahau kabisa kwamba na wao waliruhusiwa kufanya field na walio watangulua ndio maana wako hapo walipo leo.
 
Yani watu wana sahau kabisa kwamba na wao waliruhusiwa kufanya field na walio watangulua ndio maana wako hapo walipo leo.
Alfu anatokea MTU anahisi kama MTU ni mzembe wakati ajui ulianza kutafuta muda gani hiyo field.
 
Fanya hivi nenda TRA ofisi ya wilaya yoyote wasilisha barua yako ,hapo hapo ndo utapata
🤣 Mkuu upo serious na hili comment au unazijua field za sasa hivi? Yani hata uwaambie sitaki hata nauli wanakwambia tutakuita
 
Back
Top Bottom