Mbona Tanga mnatuonea? Huku hakuna anaeachwa nje aliwe na fisi. Hakuna anaekatwa viungo. Hakuna vibibi vizee vinavyopigwa hadi kufa kwa sababu kina macho mekundu.
Watumishi wa serikali toka mikoa mingine wakifika Tanga kitu cha kwanza wanatafuta nyumba za waganga.
Kabla hamja kutuhukumu hebu...
Nimejiunga na nssf 4/2014. Nalipa 20000 kila mwezi. Nia yangu nikua na akiba ya muda mrefu-uzee unaingia. Bila kuhesabu riba yao sasa nina laki tatu naa. Nafurahi kwa ku save kidogo kidogo. Sasa mnanitisha mkinambia taasisi hii haiaminiki. Je nitoke? Ipi mnanishauri
Mcheza karata ahsante kwa kurudi. Kwanza tuwaombe samahani wale wenzetu wasiotaka elimu hii wasichangie kitu chochote chanye maadili ya kidini. Sio wote ni waislamu au wakristo. Kuna wenzetu hawaamini hata mungu
lakini wanna haki kama sisi. Sasa kama dini zetu haziruhusu kusilikiliza darasa...
Magufuli anachoonyesha hapa ni kwamba yeye ni mtendaji mzuri na kama akipewa fursa ya kuiongoza nchi basi atafanya vizuri.
Kwa hiyo kama kuna mgombea mwengine aliyefanya vizuri nae aeleze nini amefanya.
Simuhukumu Mag kwa suala la samaki. Yalikuwa ni maamuzi magumu lakini lazima yatolewe...
ndugu yangu humu ndani kuna post ya ufugaji samaki ambayo ni complete. search itaipata name dukuduku zako zitaisha au nenda YouTube pale yapo madarasa hata ya kiswahili toka kenya
Kiswahili ni lugha tu. ndio na ndiyo su chanzo cha kumdhalilisha mtu. Sisi wasomaji twataka hoja. Mwinzio ana muamini Magufuli kama kingozi bora. Kama we we wapinga basi toa hoja yako na siyo kutaka tofauti ya ndiyo na ndio. Kumbuka asiye kubali kushindwa siyo mshindani.
By the way, ni sio au siyo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.