Recent content by Mati mabhisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania CCM yashikwa koo na Magufuli, Naibu spika aingia kikao cha kamati kuu

    Waachwe wao wenyewe watalitolea ufafanuzi wadau watwangane poa tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa Bunge wote wako wapi?

    Huyo jamaa hajielewi NS hata kama yupo kuna Muda mwenyekiti anaendesha kikao bila shida yawezekana huo ni mkakati ulisukwa mapema
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Rais anapokuwa mshiriki wa kwanza,it is a serious business!

    Mambo mengi anayofanya Rais wetu ni mwendelezo wa KATIBA YA WARIOBA, hivyo Magufuli ajitahidi arudishe Katiba ya JAJI WARIOBA
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yakopa kiasi cha dola bilioni moja benki ya dunia

    Thubutu!!!!!! Bakuli lazima litembee tu huko nje mdau hayo yalikuwa MANENO ya jukwaan tu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yakopa kiasi cha dola bilioni moja benki ya dunia

    Kikwete àlisema kukopa ni muhimu watu hawakumwelewa, wengine wakaenda mbali zaidi kusema kuwa tunaweza kujitegemea bila kukopa kwa kuwa rasirimali tunazo za kutosha mmmmmmmmhhhhhhh
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Huo waraka ni kweli upo ndivyo ilivyo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkuu wa CCM sasa rasmi tarehe 23 Julai 2016

    Kwa taarifa za kiitelijensia cku hiyo mikutano ruksa AMANI itakuwapo, baada ya mkutano huo hakuna mikusanyiko tena ya siasa, HAPO NI WASHAWASHA TU bongo balaa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro

    Hatari sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi siku hizi kufanya Sherehe/Mahafali nako kunahitaji kibali cha polisi? Dodoma wameonewa

    Tutaona mengi sana ambayo hayajawahi Tokea tangu tupate Uhuru 1961
  10. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wazingira Mahafali ya CHASO Dodoma, Watawanywa kwa nguvu

    Ngoja tutaona kwa mkutano wa CCM trh 23/07/2016. Picha itakayoendelea hapo, najua kibali kitatolewa tu waendelee na mkutano, ikiwa mkusanyiko wowote wa kisiasa umepigwa marufuku
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Balaa hii sasa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Pay stubs za mshahara wa Rais

    Ndo Tz hiyo wadau
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Sharrif Hamad kumbe naye English yake ni shiiiiiida!

    Mwingine mbona angeanguka pale pale au kupata kiharusi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maalim ndani ya studio za VoA muda huu via star tv

    Mzee anatema cheche hataki mchezo
Back
Top Bottom