The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,891
Umoja wa wanachama wanawake wa vyama upinzani visivyo na uwakilishi bungeni vimesema vinaridhishwa na utendaji wa naibu spika Dr Tulia Ackson na wamemtaka aendelee na mwendo huohuo kwani amedhihirisha kuwa ni kiongozi mahiri anaetanguliza maslahi ya taifa mbele na kuacha maslahi ya kisiasa pembeni.
Wanawake hao wamesema hayo huku wenzao wa UKAWA wakiwa wamesusia vikao vinavyoongozwa na naibu spika huyo.
Chanzo: Gazeti Uhuru
Wanawake hao wamesema hayo huku wenzao wa UKAWA wakiwa wamesusia vikao vinavyoongozwa na naibu spika huyo.
Chanzo: Gazeti Uhuru