Recent content by mathx

  1. M

    JamiiForums Tanzania Excel kupanga matokeo, divisions na points

    Mkuu mungu akubarik kazi nimekamilisha vizuri na sio ngumu kama nilivyokua nazani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Excel kupanga matokeo, divisions na points

    Mkuu nmepiga kazi nimekwama kwenye division yan sijakupata hapo kwenye vlookup ya mwisho ili nipate división, nmejaribu inaniletea wanafunzi wote wamepata zero
  3. M

    JamiiForums Tanzania Clouds 360 wamepotosha kauli ya Kamanda Mpinga

    Hakuna wa kuifungia mawingu, mkuluu wetu kawatumia kadi ya X mas
  4. M

    JamiiForums Tanzania Advanced Excel for Professional & Tally ERP 9

    Mie n mwilimu ninashida naitaj kanuni ya kupanga matokeo kwa division yan div I-O
  5. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    nisaodiwe nina DBB comn PCB nataka omba vyuo vya afya
  6. M

    JamiiForums Tanzania Updates: Mdahalo wa Wagombea Urais CCM - Julai 05, 2015 via Star TV

    labda Star tv 2 mtoa mada hatuambie??
  7. M

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    nikupe namba ya mwalimu wa hapo kwiro??? ukifka moro kuna magar 2 tu yakuja huku mahenge usidanganyike kuna allysaid na kidinyilo ila kwa usafil bora panda kidinyilo naur elfu 20 baada ya kufka unachukua bodaboda buku hadi kwiro
  8. M

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    umeenda lini ndanda?? lile jengo la mskit limejengwa vzr na lile jengo la uwanja wa netbal wanaofanyia mazoez wale ma dada wa ufund wanajenga frem za salun; duka na fundi nguo na pale mka house wamegewa walimu co wafnyakaz wa benk
  9. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wa tempo ni majanga katika sekta ya elimu

    shule gan?wap?wote au??
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imepiga marufuku shule binafsi kulipisha karo kwa mfumo wa Dola

    Mbna wamechelewa sasa!! Hii serikali ya Tanzania ni Ndoroooobo nini!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    iko mbal na wilayani kuna vilima kama 2 cha kwanza unakutana na ndororo cha pil mbangayao ukifka fanya mishe zako hapa wilayani ukienda nenda mazima!
  12. M

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    msada wana JF nimepangiwa dodoma-kongwa-Mang'hweta sec. Anayepajua vizur haniambie ukwel wala hasunipe moyo wana JF
  13. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    shukuran kwako kaka kama kuna kitu kingine waweza nijuza!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    vp kuna umbal gan toka kongwe town na unaweza ukakaa kongwe ukapiga kazi uko
  15. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    hata mwenywe naanza chukua mazoezi maana duuu!!
Back
Top Bottom