Recent content by Mathias BM

  1. M

    Kazi! Kazi! Kazi!

    Acheni ku-comment kejeli wazee kama huna cha maana we kausha tuu coz kupata au kukosa ajira ni mipango ya mungu jamani! Nyie mnaocomment kejeli maisha mnayajua mnayaskia!
  2. M

    Nafasi za kazi kampuni ya kamali ya lotus valley dar es salaam (65 posts cashier)

    Hawa jamaa wanaweka matangazo but ukiapply hakuna feedback yeyote! Acheni bac ku2zuga kama hamna kazi ya kufanya mlale!
  3. M

    The great the distance the great the love!

    Niliwahi kumnasa mwanasaikolojia fulani anasema"the great the distance the great the love" akimaanisha kwa tafsiri isiyo rasmi kuwa, jinsi wapenzi wanavyoweza kutengeneza umbali flani kati yao ndivyo mapenzi yao huongezeka maradufu. Ninaposema umbali namaanisha mazingira yafuatayo; 1. Epuka...
  4. M

    Hebu muulize..amekupendea nini?

    Wana jf tushirikishane hili suala muhimu! wapenzi au wanandoa wengi wanapotaka kuanza mahusiano yao huulizana maswali kama haya...'unasoma wapi, unafanya kazi gani, we ni mnene au mwembamba n.k' Halafu wakishajua majibu hayo, hapo ndo husingizia dhana ya kupendana kwa dhati kisha kuanza...
  5. M

    Natafuta mchumba/ mume wa ndoa

    Nakutakia Mema Kumpata Mumeo...lakini Dada Kipato Ni Suala La Ziada Tu Kwani Kwani Kama Mmeo Atakuwa Na Kipato Kikishuka Ndo Mnaachana? N.B Karibuni wana JF kwenye party yakumtambulisha mchumba wangu niliyempata humuhumu(Maeneo ya areaD Dom)
  6. M

    Natafuta mchumba/ mume wa ndoa

    Nakutakia Mema Kumpata Mumeo...lakini Dada Kipato Ni Suala La Ziada Tu Kwani Kwani Kama Mmeo Atakuwa Na Kipato Kikishuka Ndo Mnaachana? N.B Karibuni wana JF kwenye party yakumtambulisha mchumba wangu niliyempata humuhumu(Maeneo ya areaD Dom)
  7. M

    Natafuta mchumba/ mume wa ndoa

    Nakutakia Mema Kumpata Mumeo...lakini Dada Kipato Ni Suala La Ziada Tu Kwani Kwani Kama Mmeo Atakuwa Na Kipato Kikishuka Ndo Mnaachana? N.B Karibuni wana JF kwenye party yakumtambulisha mchumba wangu niliyempata humuhumu(Maeneo ya areaD Dom)
  8. M

    SEX got me in Trouble.. Please HELP!

    Isikuchanganye Sana, Hizo Ni Hatua Tu Katika Life, Lakini Cha Msingi Hao Twins Wakizaliwa Ndo Utajua Kama Ni Wa Mzungu Au Mhindi, Kama Hawana Character Hizo Basi Deal Na Mswahili Mojawapo Unayeona Anakufaa Au Kukusaidia Coz Huwezi Kupima DNA Kwa Kila Mmoja. Hongera Kwa Kupata Twins!!
  9. M

    hivi inawezekana ama ni kwangu tu?

    Ukweli Ni Kwamba' Usimjaji Mtu Kwa Jinsi Anavyoonekana Au Anavyokutendea Kwa Siku Moja Tu. Kumfaham Mtu Vizuri Inachukua Time Sana May Be Utakapokuwa Naye Karibu Mara Nyingi Zaidi. Mume Wako Ni Mtu Wa Muhimu Sana Coz Una Noleji Kubwa Juu Yake, Unafahamu Mapungufu Na Mazuri Yake Hivyo Una Uwezo...
  10. M

    Eti unalazimisha kupendwa……..Thubutuu…………!

    Congratulation! you are the best!!
  11. M

    Why This? Check Your History!!

    Hahaha....siasa Hizo! Even Heavy Is To Be Made Open.
  12. M

    Why This? Check Your History!!

    Kwa Jinsi Ninavyofahamu Nimegundua Kwamba Watu Hupata Wachumba Na Kuwekeana Nia Ya Dhati Kuwa Wataoana Katika Kila Stage Ndani Ya Maisha Ya Shule Mfano Std 1-7, Frm1-4,5-6 U'versity/college Etc, Lakini Cha Kushangaza Asilimia 5 Ndo Wanaofikia Malengo 95% Go away! Do U Think Why? Make Reference...
  13. M

    Natafuta Mchumba Atakayekuwa Ma Lovely Wife After Several Months Lates.

    Kuimba Sio Kigezo Cha Msingi Sana, Unaonaje Ingekuwa Wewe Neema. Can U Find Me Out Plz?
  14. M

    Natafuta wise and social girl.

    Hi all! natafuta marafiki wa kike na kiume kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kushauriana different matters e.g ujasiriamali, masomo, namna ya kukabiliana na matatizo mbalimbali na maisha kwa ujumla. Napenda kusoma saikolojia mbalimbali especially experimental psychology...
  15. M

    Natafuta Mchumba Atakayekuwa Ma Lovely Wife After Several Months Lates.

    Kuimba Kwaya Haimati Sana But Cha Msingi Awe Ni Wise And Social.
Back
Top Bottom