Recent content by Mathew Petro

  1. M

    JamiiForums Tanzania Usajili UDOM 1st year ni kero kubwa

    Kama umeweza kulalamika kwa hili la usajiri Bas utalalamika kwa mengi sana maana ndo umeanza pole kwa kuwa na moyo mwepesi Udom ndo tunavyoishi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya mazoezi niliyoyaona Ukonga na Moshi, wana UKUTA badilini gia!

    Hili jambo linawahusu wote UKUTA Unaweza kuwa jiran yako na wewe yakakukuta tuombe MUNGU tu Wayamalize salama Tuache uxhabiki wa kusema watakiona kwani wewe utakua nje ya nchi je ukiwa kwenye biashara zako na yakakukuta utasema kihelehele cha pesa au??? THINK BIGER GET A PICTURE
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lissu "Handle with care"

    Tundu lisu is the father of ccm now days they should talk of him
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Prof Ndalichako yanashangaza

    Nchi imepandikizwa uoga hakuna awezae kuhoji Wafanya kazi wanaishi kwa hofu Wananchi wanaishi kwa hofu Wanafunzi wanaishi kwa hofu Utazan tuko utumwani nani atahoji na ni nani atamtetea mwenzie Inaumakuona kura za wananchi zinawatesa wenyewe
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu bado unaamini kuwa Magufuli ni Dikteta Uchwara?

    Unadhan tundu lisu wangemfanya nn labda ili udicteta udhihilike???? Unapofikiri kuhusu udicteda fikiri kwa mapana Kumkamata tu ni udicteta pia maana hana kosa kufanya mkutano jimbon kwake
  6. M

    JamiiForums Tanzania Video: Viongozi wa Tanzania tujifunze kupitia hili

    Dah!!! Hongera zake Obama kaonesha ukomavu wa kisiasa sio hapa Bongo
Back
Top Bottom