Recent content by matheus lazaro

  1. M

    IELTS 6.5 band vs TOEFL 80 Scores

    Nipigie no.0712672210. Nitakupa utaratibu wa toefl,gmat na gre ukipenda. Na usajili pia unafanyika.karibu
  2. M

    Nahitaji kufanya mtihani wa TOEFL kwa ajili ya kuomba scholarship, nipo form six sasa

    Mkuu tambua hitaji la chuo husika ila toefl ndo mpango. Njoo.ujisajili kwetu na utafanyia mtihani mwl nyerere.nipigie 0712672210. British hawafanyi toefl bali ielts.
  3. M

    Sheria za kazi

    Malipo ya ujira wako yalifanyikaje. Je.uliwahi kujiunga na mfuko.wa.hifadhi.ya jamii mf nssf nakadhalika. Makubaliano yalikuwa ni yapi. Maswali ni mengi. Piga 0712672210 kwa ushauri wa bure tu.
  4. M

    Vifaa vya bodaboda na bajaji viko sokoni

    Wadau kuna bosi kafunga duka la bidhaa ya pikipiki na bajaji na ameamua kuvi sell vyote. Kwa anayehitaji piga 0712672210.
  5. M

    Vifaa vya bajaji na bodaboda viko sokoni

    Wadau kuna bosi kafunga duka lake la bidhaa hiyo ya bajaji na bodaboda na anatafuta mnunusi kwa bei ya kariakoo. Vifaa vinapatikana mbesi makonde eneo la soko. Karbuni kwa kununua. Piga namba 0712672210 kwa maelekeso.
  6. M

    Mke wangu alienda kunichongea kazini nikafukuzwa ili anitese

    sababu yakufukuzwa ni ipi? kama siyo ya msingi kwa mujibu wa sheri za nchi nakushauri kwenda tume ya usuluhishi na upatanishi haki yako itapatikana bila kujali ulitafutiwa kazi na mkeo madamu utaratibu hujafuatwa utarejea kazini. waweza kunicheki kwa ushauri zaidi namba 0712672210. binafsi...
  7. M

    Fursa ya kuuza T- Shirt siku ya Fiesta

    Kuna vijana wawili wanahitajika haraka wakike na wakiume wenye kujua kuongea vizuri na wateja, wachangamfu kwa ajili ya kuuza t-shirt siku ya fiesta usiku itakayofanyika Leaders club. Mfano Fiesta ya Mwanza vijana watatu walipata elfu 30 kila mmoja baada ya kuuza T-shirt 90 hivyo kila mmoja...
  8. M

    Natafuta kazi

    Mkuu kuna fursa ya kuuza T-shirt siku ya Fiesta usiku kwa siku moja unaweza kusogeza siku kwa kupata mshiko wa siku moja wakati unatafuta pakujishikiza zaidi. ukiwa tayari nicheki 0712672210 kwa maelezo zaidi.
  9. M

    Tamko la Tanzania Social Support Foundation (TSSF) juu ya kutokutambuliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

    Watanzania pamoja na maelezo ya hawa bwana bado nina mashaka nao kwani mwaka 2012/2013 nikiwa chuoni kulikuwa na taasisi kama hii ikijulikana kama " HIGHER LEARNING SOCIAL SUPPORTING FUND" ikiwa na nyaraka zote za usajili toka mamlaka husika na walikuwa na wakala wao chuoni kwetu tena mate wangu...
  10. M

    Serikali: Hatuitambui Taasisi ya Tanzania Social Support Foundation (TSSF) iliyojigamba kutoa mikopo kwa wanafunzi

    Binafsi nilisha tahadhalisha juu ya taasis hiyo feki. Vijana tuweni makini.
  11. M

    Mwenye taarifa kuhusu TSSF ( Tanzania social support foundation) tujuzane

    Wadau kama ni tssf kimbieni sana maana mwaka 2013/2014 nikiwa TIA najua wahanga walikuwa wengi maana wakikusanya pesa za application kisha wakaishia mitini na ofic xao zilikuwa kariakoo. Baadhi ya wanafunzi toka vyuo tofauti walikuwa wahanga .kuweni makini.
  12. M

    Natafuta mtu wa sales

    Wadau kuna mtu naye anahitaji mtu wa sales upande wa tishirt za kisasa kabisa. Anahitaji vijana wanne wakike kwa waume idadi sawa na awe anaishi Dar es salaam. Kwa mawasiliano zaidi namba 0712672210.
  13. M

    Wanaotaka kufanya mitihani ya TOEFL,GRE NA GMAT tuwasiliane

    MItihani hiyo unafanya kutokana na chuo ulichoomba na kuambiwa ufanye mtihani gani kulingana na mahitaji yao. kwa ufupi unaweza kuwa umeshawatumia matokeo na vyeti vyako au lah! kulingana na utaratibu wa chuo husika
  14. M

    Wapi naweza kupata simcard za Uwakala M-pesa/Tigopesa

    pesa yako ambayo ndo unaanzaia biashara yako na cyo kwamba unawapa lah!
  15. M

    Wanaotaka kufanya mitihani ya TOEFL,GRE NA GMAT tuwasiliane

    Kimsingi mkuu hadi dakika hii naandika uzi huu kuna watu walishafanya kwa mwezi june na sasa wapo wengine njiani kwa july na pia ukihitaji cd zake unapata kwa bei nafuu mkuu japo punde nikabadili mazingira ya kazi lakini majukumu yataendelea vema na kituo cha mtihani ni mwl Nyerere.
Back
Top Bottom