matheus lazaro
Member
- Aug 1, 2013
- 42
- 15
Kuna vijana wawili wanahitajika haraka wakike na wakiume wenye kujua kuongea vizuri na wateja, wachangamfu kwa ajili ya kuuza t-shirt siku ya fiesta usiku itakayofanyika Leaders club.
Mfano Fiesta ya Mwanza vijana watatu walipata elfu 30 kila mmoja baada ya kuuza T-shirt 90 hivyo kila mmoja kujiondekea na pesa ya kusogeza angalau siku mbili wakati wanatafuta ajira stahili.
Mwenye kuhitaji anicheki namba 0712672210. Wahi mapema kwani imebaki siku moja tu.