Recent content by matfor tungs

  1. M

    JamiiForums Tanzania BBC Swahili ni kituo cha kueneza Propaganda za Uislam?

    na watangazaji ni wale wale waislam kama kassim kaila,salim kikeke
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuandikisha majina ya wachangiaji rambirambi kuna sababu gani.?

    dah umenikumbusha mbali sana,wote tu wamoja,nadhan koment yako ndio jibu sahihi!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Luku ya Mpesa iliyogoma kuingia

    piga huduma kwa wateja 0768985100 au 0222194400 utapata msaada wote wa matatizo yako ya umeme
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiongea ni kama AG, MNYIKA kama Spika, Mbowe kama Waziri Mkuu

    una wivu wa kijinga sana,nahitaji kujua elimu ili nitoe hitimisho kuhusu jibu lako!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbasha aache kutumia Propaganda za Gwajima kuseek Public Sympathy kwa tuhuma zinazomkabili

    huwa nasoma sana comment zako nahuwa zinamaana sana,lakini kwa hili umepotoka kidogo!!kama hujatumwa kumsafisha gwajima basi achana nalo na endelea na mambo ya kuelimishana kimaendeleo,huko ulikoenda waachie wa mipasho,labda kama na wewe umehamia sekta hiyo!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fumanizi la aibu: Mke afumwa live kitandani

    ni kweli kitendo alichofanya kwa kutembea na mke wa jirani yake ni kosa na aibu kubwa,swali je hiyo fidia ya milion 1 inaweza kufuta aibu ya mke wake kukutwa gest?je hakukua na njia nyingine ya kulirekebisha hilo hilo kabla ya kuita mapaparazi?
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aisee kabla ya kuoa hakikisha unajiridhisha katika hili

    Acha woga mtoto wa kiume,jiamini!;inawezekana wale wenye benz ndio wana maisha magum sana kuliko hata huyu mwenye subaru,maisha ya ndoa usiyapimie ukiwa nje utaumia sana na utafeli
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama mke hazai ni vema kuachana naye?

    wala usithubutu utakua umefanya kosa saana,ukimuacha usije shangaa alokoolewa amezaa,na hapo ndio utaumia zaidi ya ulivyoumia sas!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Anaefahamu Mwalimu wa Music au chuo cha music

    nenda pale kabla hujafika baruti kuna kituo kinaitwa rombo,kuna waalimu wazuri wa vifaa hivyo,ukipita barabarani utaona bango la kitambaa upande wa kushoto
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

    kweli nimemsikitikia sana ndugu yangu zitto,ni miongoni mwa vijana niliokua nawakubali sana hasa kwa misimamo yake,najiuliza sana,je alipagawa na nini huyu jamaa?binafsi nilijua angekwenda kwa viongozi wake kukiri na kutubu kwa umakini kabisa,na bila shaka haya mambo yasingefika hapa yallipofika...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Makabila na tabia zao

    wangoni na wapare hawana hiyana(yaan sio wachoyo ktk kutoa penzi,tofauti yao ni kubwa ni kwamba wangoni wanajua sana wawapo kwenye 6 kwa 6,ila wapare hawana lolote uwanjani,ni kama gogo vile
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wale mlosoma economics nisaidieni

    habari kijana!!kama ni swala ajira kwa nchi hii unaweza ukasomea kitu fulani na usifanye kazi katika hiy sekta uliyosomea,ila sasa kwa swala uwanja mpana wa ajira nakushauri usomee AGRICULTURE.Hii ni nzuri na haina ushindani mkubwa kwa sababu hata waliosmea course hiyo ,huwa hawapendi kufanyia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hellen kijo bisimba...nakuheshimu lakini kwa hili nimekudharau.

    acha unafiki wewe!!umeshatibua na umeona watu walivyojibu then unajifanya kujirudi kijanja!!kwani usinge ipost hiyo mada baada ya kuona tofauti hizo ungepungukiwa na nini??una upeo mdogo kuliko hata ukubwa wa punje ya haladari
  14. M

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Msanii Masogange, mwenzake wapata dhamana (S. Africa)

    kwa kweli huyu jamaa aliyetoa mada nimemshangaa sana,kweli humu jamvini kuna watu wenye upeo wa namna hii kweli? na sio wale Great T hinker niliokua nawafurahia kusoma comment zao!!kweli mda hii imenisikitisha sana.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu,uzembe hadi kwenye mitihani ya kitaifa?

    uzeme wa bunge na wabunge,tumefika hapa tulipo kwa sababu ya upuuzi wa ccm by john mnyika june.
Back
Top Bottom