Dr. Kitila CDM nilijiunga kutokana na katiba yake sasa umefukuzwa uanachama kwa makosa yako unataka tukutetee, haitawezekana jitahidi kufahamu unachokifuata kabla haujakiamini. chama chako kipya utakuwa katibu mkuu.
zzk anamatatizo yeye anataka mtu achaguliwe kwa kuangalia anatoka wapi,dini gani, kabila gani, mtoto wa ngapi, mwanachama wa lini, kwa mtazamo huo hayuko sahihi na anastahili adhabu aliyopewa kwa sababu hiki ni chama cha siasa na sio kama mtazamo wake ulivyo
zzk ziara zake zote anawakilisha cdm lakini andanganya anaowahutubia kwamba yeye mb wa taifa, katika nchi hii wabunge wa vitimaalumu tu ndiyo hawana majimbo lakini na wao wanautambulisho wa maeneo wanayotokea
Nimeuliza wapiga kura wa Arusha kama wanaijua cv ya mbunge wao wakasema wanaijua sana na ndiyo maana walimchagua, Arusha ina maprofesa,madaktari wengi sana nao wanamkubali kijana wao
Unajaribu kuonyesha fikra zako, upeo wako wa kufahamu ni kiasi gani. Hakuna mabadiliko yasiyo na athari, hata nchi yetu ilipoingia kwenye utandawazi watu wengi walipunguzwa kazi.
Propaganda ya CCM kwamba CDM ni ya kikabila imeshindwa kufanikiwa mfano halisi ni Sugu, Msigwa, Kiwanga, Silinde...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.