Zitto kabwe karibu mbeya tunahamu kusikia toka kwako si propaganda za hawa jamaa

Mwanah

JF-Expert Member
May 7, 2013
351
225
Sisi kama wananchi wa mbeya tunaojitambua tunaomba mh.zitto utembee nchi nzima kueleza ukweli kuhusu tuhuma juu yako tupo tayari kusikia toka kwako mwenyewe usidanganywe na matamko ya watu ni yao wao sisi wanachama hatujaulizwa maoni yetu juu ya sakata lako ila tunajiuliza kwanini lije leo wakati wewe uko kusaka fedha walizoficha uswisi na ulaya kwa ujumla na ile propaganda ya wewe na fedha za ccm walishindwa kunasa meseji hata moja ya m.pesa au copy ya risti benki ninavyomjua @#$%^%^ wa chadema hasa kuhusu epa alikuwa analeta hadi barua za siri mbona kwa hili hakuna tuachane na hilo labda bado ziko stationary zinafanyiwa editing.ila karibu mbeya wafanya biashara wa hapa mjini tuko tayari kukuandalia mkutano mkubwa kabisa kama uko tayari basi nitumie kameseji au mwenye mawasiliano na mh.zitto jameni tupeni iwe email aunamba ya simu wadau nipeni basi hapa chini kwa herini karibuni hapa chini wa buku saba,wahadhidina na waleberal wote ila leteni hoja soi matusi matusi ni dalili ya kuishiwa sera af samahani keybodi ya haina nukta
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,157
2,000
Mbeya ipi unayoisema ? Hakuna mtu hapo MBEYA atakayevumilia cdm kutukanwa tena na mtu aliyeokotwa barabarani na kujengwa na chama , wala hatathubutu kutia mguu .
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,157
2,000
sisi kama wananchi wa mbeya tunaojitambua tunaomba mh.zitto utembee nchi nzima kueleza ukweli kuhusu tuhuma juu yako tupo tayari kusikia toka kwako mwenyewe usidanganywe na matamko ya watu ni yao wao sisi wanachama hatujaulizwa maoni yetu juu ya sakata lako ila tunajiuliza kwanini lije leo wakati wewe uko kusaka fedha walizoficha uswisi na ulaya kwa ujumla na ile propaganda ya wewe na fedha za ccm walishindwa kunasa meseji hata moja ya m.pesa au copy ya risti benki ninavyomjua @#$%^%^ wa chadema hasa kuhusu epa alikuwa analeta hadi barua za siri mbona kwa hili hakuna tuachane na hilo labda bado ziko stationary zinafanyiwa editing.ila karibu mbeya wafanya biashara wa hapa mjini tuko tayari kukuandalia mkutano mkubwa kabisa kama uko tayari basi nitumie kameseji au mwenye mawasiliano na mh.zitto jameni tupeni iwe email aunamba ya simu wadau nipeni basi hapa chini kwa herini karibuni hapa chini wa buku saba,wahadhidina na waleberal wote ila leteni hoja soi matusi matusi ni dalili ya kuishiwa sera af samahani keybodi ya haina nukta

unajihami nini sasa ? Si umeamua kuoga kinyesi , subiri uone mkong'oto !
 
Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,441
1,250
Sisi kama wananchi wa mbeya tunaojitambua tunaomba mh.zitto utembee nchi nzima kueleza ukweli kuhusu tuhuma juu yako tupo tayari kusikia toka kwako mwenyewe usidanganywe na matamko ya watu ni yao wao sisi wanachama hatujaulizwa maoni yetu juu ya sakata lako ila tunajiuliza kwanini lije leo wakati wewe uko kusaka fedha walizoficha uswisi na ulaya kwa ujumla na ile propaganda ya wewe na fedha za ccm walishindwa kunasa meseji hata moja ya m.pesa au copy ya risti benki ninavyomjua @#$%^%^ wa chadema hasa kuhusu epa alikuwa analeta hadi barua za siri mbona kwa hili hakuna tuachane na hilo labda bado ziko stationary zinafanyiwa editing.ila karibu mbeya wafanya biashara wa hapa mjini tuko tayari kukuandalia mkutano mkubwa kabisa kama uko tayari basi nitumie kameseji au mwenye mawasiliano na mh.zitto jameni tupeni iwe email aunamba ya simu wadau nipeni basi hapa chini kwa herini karibuni hapa chini wa buku saba,wahadhidina na waleberal wote ila leteni hoja soi matusi matusi ni dalili ya kuishiwa sera af samahani keybodi ya haina nukta

Sawa nimekusikia nitakuja next week.
 
kamanda wa kamanda

Senior Member
Oct 12, 2013
191
225
Kama alishindwa kuja wakati hajavuliwa vyeo saizi aje kufanya nini mbeya ni ya Docta Slaa na ndio maana kuna kiwanja kinaitwa kiwanja cha Docta Slaa
 
kamanda wa kamanda

Senior Member
Oct 12, 2013
191
225
Sisi kama wananchi wa mbeya tunaojitambua tunaomba mh.zitto utembee nchi nzima kueleza ukweli kuhusu tuhuma juu yako tupo tayari kusikia toka kwako mwenyewe usidanganywe na matamko ya watu ni yao wao sisi wanachama hatujaulizwa maoni yetu juu ya sakata lako ila tunajiuliza kwanini lije leo wakati wewe uko kusaka fedha walizoficha uswisi na ulaya kwa ujumla na ile propaganda ya wewe na fedha za ccm walishindwa kunasa meseji hata moja ya m.pesa au copy ya risti benki ninavyomjua @#$%^%^ wa chadema hasa kuhusu epa alikuwa analeta hadi barua za siri mbona kwa hili hakuna tuachane na hilo labda bado ziko stationary zinafanyiwa editing.ila karibu mbeya wafanya biashara wa hapa mjini tuko tayari kukuandalia mkutano mkubwa kabisa kama uko tayari basi nitumie kameseji au mwenye mawasiliano na mh.zitto jameni tupeni iwe email aunamba ya simu wadau nipeni basi hapa chini kwa herini karibuni hapa chini wa buku saba,wahadhidina na waleberal wote ila leteni hoja soi matusi matusi ni dalili ya kuishiwa sera af samahani keybodi ya haina nukta

Asijisumbue kuja mbeya atapigwa sana
 
rifwima

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
491
250

Yaani wewe ndo unawakilisha wana Mbeya wanaojitambua? Hakika hii nchi matatizo yake yanasababishwa na aina ya watu wake. Itatuchukua to evolve to another generation to develop.
 
2013

JF-Expert Member
Jan 1, 2013
11,330
2,000
Mbeya ipi unayoisema ? Hakuna mtu hapo MBEYA atakayevumilia cdm kutukanwa tena na mtu aliyeokotwa barabarani na kujengwa na chama , wala hatathubutu kutia mguu .
unamuuliza mwana-magamba huyo.
kwenye msafara wa mamba kenge wapo.
 
Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,677
2,000
Kule kigoma weng sio watanzania ni wahamiaja yaan warund

mkapa kpnd akiwa Rais alipoenda waliandamana et wametengwa????

Nyerere alpokuwa Rais et walikuwa wanadai wajitenge wao sio watanzania

baada ya miaka50 zito kahongwwa mi hela na ccm,kapewa na zawad ya lami

waha sasa,wanajiona wao n kila kitu.

Najiuliza tuuu,hata ndan ya ccm kwenyewe kuna muha alyeaminiwa akapewa uongoz wa kitaifa kwenye chama????????????

Nadhan chadema walikosea sana
 
Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,677
2,000
Huyu zzk anajiita kiongoz

ile lami aliyopewa zawad kwa juhud za kuivuruga cdm

alkataa isiende jimbo lingne iishie kwake tu,kwa wanaotoka kigoma hili watalisemea vizur,

kibaya zaid akaomba iptie kwa rfk yake kafulila jmbo la kigomakusin

ili hal barabara kuu,inapta kasulu,kibondo,kakonkoko had kahama na mwanza

jmbo la kasulu yupo machali,jmbo la kibondo yupo mkosamali ambao wote hawa hawapatan na msalit zzk

iila yy almbeba mbunge wa ccm,kule manyovu,rfk yake kafulila na yule mtusi wa kigoma mjin

bada ya kina machali na mkosamali kushtukia mchezo,na walimbana magufuli na akawahaid kuwaptshia lami kwan walijua watatoboa sir

ila ndo ivo kila mwaka machli,anaambiwa tumeshafanya upembuz yakinifu

zzk sio kiongoz,juc n bora makinda awe rais bt not zzk
 
nyamakonge

JF-Expert Member
May 28, 2013
363
225
mnahangaika na thread za kina mchange.mtela na shonza.et wanampamba MSALITI MKUU<MM>ionekane nae anapendwa.tembeen nch nzma ata kwa choppa kama mnauwezo..lakn MASALIA LAZIMA YAPUKUTISHWE.
 
mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,850
2,000
Kule kigoma weng sio watanzania ni wahamiaja yaan warund

mkapa kpnd akiwa Rais alipoenda waliandamana et wametengwa????

Nyerere alpokuwa Rais et walikuwa wanadai wajitenge wao sio watanzania

baada ya miaka50 zito kahongwwa mi hela na ccm,kapewa na zawad ya lami

waha sasa,wanajiona wao n kila kitu.

Najiuliza tuuu,hata ndan ya ccm kwenyewe kuna muha alyeaminiwa akapewa uongoz wa kitaifa kwenye chama????????????

Nadhan chadema walikosea sana
Hizi akili uharo zilizojaa ukabila wa kijiweni!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom