Nimesoma kwenye magazeti ambapo Katibu Mwenezi wa CCM Moses NNauye akiwataja Mawaziri wa Kilimo kuwa wanatakiwa kujieleza kwa kushindwa kutekeleza wajibu wao. Katika mambo wanayotakiwa kuyatolea maelezo pia ni pamoja na matokeo ya hii tume ambayo mapendekezo yake wameyakalia. Je nini...
Nimekuwa nafuatilia yanayotokea ndani ya Bodi ya Kahawa na kuona kuwa sasa hivi Bodi hiyo haitekelezi tena majukumu iliyopewa tangia Bw. kumburu amekuwa Mkurugenzi mkuu. Tatizo ninaloliona hapa ni uwezo mdogo wa Kumburu kusimamia shirika kubwa kama hili lenye maslahi mapana. Matokeo yake...
Maelezo haya ni ya kweli na ya kitaalam, hayapaswi kupuuziwa pamoja na tuhuma nyinginezo nyingi anazotuhumiwa Mkurugenzi mkuu wa Bodi Adolph Kumburu. Kwa manufaa ya taifa serikali inabidi ichukue hatua.
Maneno mazito yanayotakiwa kufanyiwa kazi. Mh. Ngasongwa hata kama atakuwa amepeleka mapendekezo ya kumwongeza muda Kumburu hilo litakuwa ni shinikizo toka kwa waziri kwani Kumburu amemjuaje kwa muda mfupi aliokaa naye hadi amwone anafaa na kupendekeza aongezwe muda. Mapendekezo ya kufuata ni ya...
Hata kama mleta mada atakuwa ameguswa kimaslahi na vitendo vya Kumburu&Co, bado mambo aliyoyaandika yanaipa fursa serikali kujua maovu yanayotendeka ndani ya taasisi yake na kuyafuatilia.
Nimeona niingie kumtetea Elias Temu, ni kweli Kumburu alikuwa amemrubuni akamwamini akijua pengine wafanyakazi wanaoonewa wana makosa ila sasa ameshuhudia mwenyewe. Kitendo cha kujua ukweli akaanza vita ya kukemea maovu ni Mungu amemwangazia na hatuwezi kumulaumu. Tunamwomba Mungu na wengine...
Professor Sospeter Muhongo akisimamishwa na chama chake atawashinda wagombea wengine kwa misingi ya kuwa:
1. Chama chake ndicho kinachokubalika kwa watanzania walio wengi.
2. Ni jasiri ambaye ameweza kupambana na ufisadi ndani ya TANESCO
3. Ni msomi mzuri tena taaluma yake ndiyo inategemea...
Taarifa zilizojitokeza ni kuwa Mkurugenzi Mkuu Bodi ya kahawa anaendelea kufukuza wafanyakazi bila ya kufuata sheria. Kuna mfanyakazi mwingine jana amemfukuza kazi kwa kutokuwa kazini huku anaumwa. Amefukuzwa kazi wakati uongozi mzima unajua kuwa ni mgonjwa na juzi juzi tu amefanyiwa upasuaji...
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya kahawa Bw. Adolph Kumburu amekuwa akipambana kwa kutumia waadishi wa habari mbali mbali kuzuia kikao cha Bodi kinachotakiwa kufanyika tarehe 21st November, 2012 kisifanyike. Kwanza kwa kumtumia Bw. Daniel Mjema mwandishi wa gazeti la Mwananchi kwenye toleo la tarehe...
Katika gazeti la Mwanachi la tarehe 7th November 2012 kuna makala iliyoandikwa na Bw. Daniel Mjema ikimtaka Rais amwajibishe Waziri Maghembe kwa kuteua Bodi ya Wakurugenzi kinyume cha kanuni. Bw. Mjema ameenda mbali zaidi akimtaka hata Dr. Hawa Sinare naye ajiuzulu asije akaaibishwa.
Msimamo...
Kuna taarifa ya kuwa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya kahawa kwa mara nyingine tena inavunjwa.
Serikali itavunja kila Bodi itayounda kama haitashughurikia kiini cha tatizo ambacho ni Mkurugenzi Mkuu wa Bodi. Tume zote zilizoundwa zilimkuta Kumburu ndiye mwenye makosa. Ila kila wakijiandaa...
Siyo kweli kwani hao waliotajwa walishajiendeleza katika taaluma zao, mathalani Idara ya Masoko hata kama walikuwa ni form IV si walishapelekwa nje wakapata ujuzi zaidi katika fani ya kuonja k.m Bw. Mboya. Bw. Mboya amekubuhu katika taaluma ya uonjaji na amehudhuria kozi nyingi na amewahi...
Nitakutajia majina ya wafanyakazi aliojizungusha kuwa ni:
1. Primus Kimaryo
Huyu ni Mkurugenzi wa Masoko. Alikuwa Bodi ya Kahawa akaacha kazi na kuamuajili Kilicafe. Kilicafe ni association iliyoanzishwa na Kumburu alipokuwa Technoserve, tena yeye mwenyewe aliwahi kuwa Meneja wa Kilicafe...
Kilaza aliyewekwa benchi ni yupi, je unajua uwezo wa kumburu na elimu yake ni kiwango gani. Ni vizuri ufuatilie utajua kumbe kilaza ni Kumburu mwenyewe kwani ameshindwa kabisa kuendesha Bodi na kukimbilia kuunda makundi ya kumlinda.
Historia yake inajionyesha kwani alikimbia Alminium Africa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.