Recent content by matemate

  1. M

    JamiiForums Tanzania Siasa zampoteza Mbowe bila Kujua

    Mboye na kinana xa kinana ni m/ kiti wa chama Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamru serikali kumlipa mfanyabiashara Sh15bilioni

    Habar ya kizushi agost,30 mwaka hii imefika lini
  3. M

    JamiiForums Tanzania Trafiki siyo kazi yake kukamata Bima na Vehicle, wanaingilia majukumu ya wengine una haki ya kukataa

    Unajua kazi za Askari jukumu kubwa la Askari ni kuzuia uhalifu wa aina youote ile so Askari ni multipurpose
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi kodi inawauma Tanzania 18%, Kenya 6.8%, Uganda 11%, Rwanda 5.6% na Burundi 10.3%. Twafaa

    Acha uongo hizo taarifa za wapi tz ni 9%
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Magari ya Toyota kutengenezwa Tanzania

    Umekalili rudi ukasome Tena faida za kiwanda chochote kile tambua kua kiwanda hicho kupitia uzalishaji wake pamoja na magar yatakayouzwa ndan na nje ya nchi itawezesha serikali kulipa kod (2) magari mengi yatauzwa nje ya nchi hii itaongeza exportation na kupelekea balance of terms of trade (3)...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Magufuli: Uchumi wa Tanzania wakua zaidi ya nchi zingine za Afrika Mashariki

    Usipokomaa utabaki unapiga kelele maisha magumu wakati wenzio wanatusua ktk ugumu huohuo kua mbunifu piga kazi usichague kazi Sasa hivi miundombinu kibao inajengwa huko kote vibarua wanahitajika Halmashauri kila cku zinahamasisha vijana kujiunga kwenye vikundi ili wapewe mikopo we bado unapoteza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania FACT CHECK: Roma hakutekwa, alijiteka kwa maslahi binafsi ya kiMuziki

    Hata mm nashangazwa na aina ya utekeja si kawaida watekaji kuchukua mda mrefu kiasi hicho lakini angalia kipengele cha kuchukua tv et Roma aliingia ndan na mtekaji mmoja huku wengine wakibaki nje kitu ambacho c kawaida kwan watekaji nao huogopa kudhurika hivyo hawawez kuruhusu mtu mmoja aende...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kongowe, Dar: Panya road wafanya yao...

    Kweli watu wa dar ni shida yana mtu unaweza kuuawa mchana kweupe na watu wanaona lakin ucpate msaada
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kimenukaa Urusi vs Marekani

    That z da real 3ww
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kimenukaa Urusi vs Marekani

    That z da real 3ww
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tuliotelekezwa na baba zetu tukutane hapa

    Da hii imetufariji wengi unakuta mzee hajawahi kujua umekuaje wala umesomaje lakini baada ya kufanikiwa anaanza kukutafuta na kuomba msaada
Back
Top Bottom