Siasa zampoteza Mbowe bila Kujua

Siasa zampoteza Mbowe bila Kujua

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
4,582
Reaction score
2,783
Siasa, uroho na kutojua kumempoteza Mbowe bila kujitambua. Mashabiki wake wengi wanashindwa kulitambua hili.

Mambo yanayompoteza Mbowe ni haya:-

i) Kuzidiwa kisiasa na watu walioko ndani ya chama;
ii) Kashfa nyingi za kibiashara, ngono na ukanda wa chama chake;
iii) Kuuza chama kwa Mh. Lowassa;
iv) Kupungua kwa ushawishi kwa chama chake hasa baada ya kupingana na dhamira yake ya
kutetea taifa na kuanza kutetea wezi;
v) Kushindwa kusimamia matamko na mikakati ya chama chake;
vi) Kupingwa waziwazi na wanachama wake;
vii) Kupungua kwa mikutano ya kujinadi kwa chama chake.

Kutokana na mambo haya, Lissu na Lowassa wamebaki kuwa wakuu wa chama bila kujijua. Kunapotokea kila kitu, yeye amebaki mnyonge na ameshindwa kutetea falsafa ya chama ambayo ilisaidia kukua kwa chama mpaka 2015.
Ni wazi kuwa, kwa sasa tunatarajia kuona mtanange kati ya Lissu na Lowassa siku za hivi karibuni.

Tukae tukisubiri.
 
waandishi wa habari wakitaka maoni ya upinzani hawamfati KUB wanamuuliza LISU!
 
Mbowe na kinana nani kapotea?...

Send by Nokia 3310 from mbalizi-mbeya
 
Mimi nilidhani unatakiwa ufurahie kupotea kwa Mbowe tena unalalamika!! Sikuelewi sasa unatafuta bwana au?
 
Kosa lake alikijenga chama kwa misingi ya kikanda na kikabila ndo kitakachomtafuna mpaka chama kujifia huko
.
.
.
kyenekyaka nkighanile une

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe si ndio wale fuata upepo, maana ukisha andika thread eti unamalizia na slogan yako acha utoto. Nyie ndio wanyakyusa mnaongozwa na matumbo kufikiri, eti alikijenga kikanda hata hoja huna. Kwahiyo darasani wakiongoza 1-10 wakawa wayao, utasema waalimu wanawapendelea au? Ebu mjitahidi kujipambanua akili zenu kabla ya kupost ujinga.
 
Akili yako iko kwenye masaburi.

Yaani nifurahi kushuka kwa mwenyekiti wangu wa Taifa? Tunataka upinzani unaojitambua na kusimamia hoja. Ila kama wanashindwa hilo nafuu wafe na tuanzishe vyama vipya.
Mimi nilidhani unatakiwa ufurahie kupotea kwa Mbowe tena unalalamika!! Sikuelewi sasa unatafuta bwana au?
 
waandishi wa habari wakitaka maoni ya upinzani hawamfati KUB wanamuuliza LISU!
Sasa umeshangaa nini? Mbona huko kwenu wakitaka maoni hawamfuati Kinana, wanaenda kwa slowly but roughly.
 
Siasa, uroho na kutojua kumempoteza Mbowe bila kujitambua. Mashabiki wake wengi wanashindwa kulitambua hili.

Mambo yanayompoteza Mbowe ni haya:-

i) Kuzidiwa kisiasa na watu walioko ndani ya chama;
ii) Kashfa nyingi za kibiashara, ngono na ukanda wa chama chake;
iii) Kuuza chama kwa Mh. Lowassa;
iv) Kupungua kwa ushawishi kwa chama chake hasa baada ya kupingana na dhamira yake ya
kutetea taifa na kuanza kutetea wezi;
v) Kushindwa kusimamia matamko na mikakati ya chama chake;
vi) Kupingwa waziwazi na wanachama wake;
vii) Kupungua kwa mikutano ya kujinadi kwa chama chake.

Kutokana na mambo haya, Lissu na Lowassa wamebaki kuwa wakuu wa chama bila kujijua. Kunapotokea kila kitu, yeye amebaki mnyonge na ameshindwa kutetea falsafa ya chama ambayo ilisaidia kukua kwa chama mpaka 2015.
Ni wazi kuwa, kwa sasa tunatarajia kuona mtanange kati ya Lissu na Lowassa siku za hivi karibuni.

Tukae tukisubiri.
Mbowe kajimaliza mwenyewe aliamua kujenga watu na sio chama anaabudu sana wabunge ili wampe fedha lakini pia ni mtu anae penda sifa hata za kijinga matokeo yake kazungukwa na watu anao dhani wana mpenda kumbe wana masilahi yao na wana mpo tosha kila kukicha sasa anajikuta hana jipya anazunguka kwenye mduala uleule wa juzi na jana na wakinana Lisu wameteki chance na wana mbalizi bila yeye kujitambua chama hakina formal organizational kila mtu anatoa matamko lingine ni kupenda mademu kupitiliza mpaka unauza viti maalum kwa kapucha ni fedheha sana ameji position kwenye ufuska sasa chama kimyakimya na kupinga kila kitu kwa sababu hakuna mbadala wa fikra.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ivi hakuna tuzo kwa kiongozi bora wa upinzani katika nchi za kidemokrasia ? naona kwa upande wangu mh Mbowe anastahili kuipata ,maana amehimili mikiki ,visa ,mizengwe mingi sana na bado yupo fiti .
 
Na wewe si ndio wale fuata upepo, maana ukisha andika thread eti unamalizia na slogan yako acha utoto. Nyie ndio wanyakyusa mnaongozwa na matumbo kufikiri, eti alikijenga kikanda hata hoja huna. Kwahiyo darasani wakiongoza 1-10 wakawa wayao, utasema waalimu wanawapendelea au? Ebu mjitahidi kujipambanua akili zenu kabla ya kupost ujinga.
Hiko chama si chenu nyie wachaga sasa sisi watu wa mbeya kinatuhusu nn endelen kujifaliji kama mtakuja kuchukua hii. ..sisi tunakomaa na chama la taifa sio cha wachaga
.
.
.
kyenekyaka nkighanile une

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom