Recent content by matelazi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenyeji wa Iringa anisaidie kwa hili

    Sasa tukimkuta mtoto tumfananishe nanani ikiwa picha yako hujaweka.
  2. M

    JamiiForums Tanzania IRINGA: Mkoa wenye kabila moja tu!

    Nikweli
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kumshitaki mzazi mwenzangu?

    Sasa sijajua hapo wewe ni baba au mama tuanzie hapo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mhe. John Mnyika Amjulia Hali Mhe. Tundu Lissu Jijini Nairobi leo

    Ukiwa ni usiku na ukaona giza nene ujue ndio kuna kucha na ukiwa vitani na ukaona adui amekuwa mkali sana ujue umekalibia na amezidiwa nguvu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Moses Machali: Askofu Kakobe siyo mchungaji wa kiroho

    Huyu nae viloba vilifutwa siku nyingi lakini bado yeye anavyo mfukoni.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Asee yani we jamaa unashindwa kutulea mambo ya msingi ili tuchangie unaleta vioja sema tu sijajua umri wako lakini viloba vilishafutwa kitambo sijui unatumia nini au ugollo kwa kukusaidia usiendelee kitumia madudu hayo yanakupunguzia uwezo wa kufikili ujue
  7. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Duuu yani katika viongozi wa dini ambao huwa nawaelewa vizuri nipamoja na huyu asante sana baba askofu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nairobi Hospital: Hatujapokea fedha zozote kutoka Bunge la Tanzania

    Hii ndio tanzania bhana Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ipi ina nguvu zaidi kati ya CUF ya Seif na ya Lipumba?

    Maalimu self yuko juu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kumshitaki Rose Mhando kwa utapeli

    Ongeza pesa uliyo toa haitosh
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama wana Arusha watamchagua Lema kuwa mbunge nitawaradharau

    Halafu ukiwaxalau ndio inakuwa je?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Wazo zuri ninakubaliana na wewe 100%
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Safi sana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapya wa Bunge lijalo hadi sasa

    Peter MSIGWA iringa mjini
Back
Top Bottom