Recent content by mateistephen

  1. mateistephen

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hapo umeshiba makande sasa...unapopoma tu!
  2. mateistephen

    Mliofiwa na wazazi (mama), mliwezaje kuvuka kipindi hiki?

    Mimi nilimpoteza mama mwaka 2020, nikampoteza mtoto mwaka 2021, mwaka huo huo 2021 mwezi uliofuata nikampoteza baba...haya mambo nikumuachia Mwenyezi Mungu tu na katika kipindi hicho kila jambo unaloliwaza kumbuka kwamba Mungu yupo na unazidi kumuomba yeye akupe uvumilivu na akuvushe...
  3. mateistephen

    Wazazi wenye watoto wa kiume kuna ujumbe wenu

    Malezi naona sikuhizi yamebadilika sana..baadhi ya familia hakuna kupika, hakuna kufua, hakuna hata kuosha vyombo kisa eti watoto wa kiume. Na hata kazi za mikono zingine kama kulima hata bustani tu za nyumba hawafanyi....wengi wanajificha kwenye kichaka cha kusoma..maisha bila kujua kazi za...
  4. mateistephen

    Michezo ya kubahatisha Huku England

    Mtu yuko huko ndiko anakoishi..lakini wewe unambishia.. unafikiri wazungu wanakuthamini kama unavyowathamini wewe?
  5. mateistephen

    Ushawishi kusikia stori za chuna ngozi na nyonya damu

    Umekulia masaki..utayajuaje haya?
  6. mateistephen

    Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Point kabisa bro!Yaani kwa kifupi jamaa atafute amani ya moyo,.basi. Sawa anaweza kuvunga akakaa nae lakini vipi akija kuanza kejeli siku za mbeleni? Ni hatari kwa usalama wake asee..kuna vya kusamehe lakini sio mwanamke kuchepuka plus kuzaa kabisaa...aseeeee!
  7. mateistephen

    Hana mazoea ya kushikiwa simu yake

    KNdoa ni maisha yako...pia kumbuka muda wote huyo utakuwa naye. Je, utaweza kuishi kwa mwendo huo? Kama utaweza fine..kama hautaweza ndugu yangu usilazimishe nafsi...utakuja kujuta. kwa nini mkae mume na mke muwe wasiri hivyo..yaani kila mtu anamambo yake? Matokeo yake kila siku maugomvi. Ndoa...
  8. mateistephen

    Clinical Medicine na Nursing ipi bora?

    Acha kukatisha watu tamaa kiasi hicho. Juzi tu tunaona taarifa kuwa wafamasia ambao wako registered ni wachache sana. Kama sijasahau hawazidi hata elfu nne. Lakini ulivyotoa takwimu zako za wafamasia graduates mtu anaweza kuhisi kila nyumba tz kuna mfamasia. Cha msingi yeye aangalie moyo wake...
  9. mateistephen

    Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Umefanya maamuzi sahihi...usiutese moyo.Maisha lazima yaendelee ndugu. Usije fanya mambo ya ajabu maana shetani anaweza kupitia hapo hapo. Let it go!
  10. mateistephen

    X wangu ananitumia kwenye matatizo yake. Nitaamka lini?

    In short hujui thamani yako na huyo mwanamke amekudharau na hakupendi. Unatumika kama mshumaa tu! Hebu tambua thamani yako bhana! Kata daraja songa mbele daima usigeuke nyuma!
  11. mateistephen

    Hatimaye picha kutoka James Web telescope zimetolewa rasmi kwa umma

    Jamaa yuko good..ingawa kwa hapa nafikiri alitakiwa kusema "hizo galaxy zipo umbali wa ambao mwanga unatakiwa kusafiri miaka Bilioni 4.5 ili kufika huko."
Back
Top Bottom