GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 5,252
- 11,600
Kwanza hongereni kwa kufaulu Mitihani yenu ya Kidato cha Sita.
Kwa wale mliofeli poleni , ndio maisha hayo.
Nije kwenye mada,
Nawashauri tena Mapema kabisa, hii kozi inayoitwa Bachelor of Science in Nursing( BSN au BScN). Ikimbieni.
Msije mkajichanganya kuichagua, au Mtu awae yeyote asiwashawishi kuichagua. Na kama una ndugu usimshawishi kusoma hiyo kozi.
Hii Kozi Wahitimu wake hawaajiriwi Si Serikalini ama Private. Wanapendelea kuajiri wenye Diploma na Certificate.
Ukibahatika labda ujitolee ulipwe Chini ya 300K.
Mfano Hizi Ajira za Juzijuzi, Walioajiriwa wenye Degree ni 70 tuu. Na wote ni wahitimu wa 2018 kushuka chini.
Kwahiyo hapo utaona kuna Vijana Wengi wa 2018, 2019, 2020,+2021, Wapo mtaani.
Huku Certificate uuguzi walioajiliwa na Tamisemi ni zaidi ya 3076. Na bado waziri akasema wanahitajika bado.
Wenzenu MD, Vijana waliohitimu 2020 na kumaliza Internship 2021, wengi tuu wamepata Ajira.
Mkikosa Dental, MD, Radiology, Pharmacy, Labs, Biomedical, hamieni hata diploma.
Nursing usiiweke kwenye Options zako.
Mimi nimemaliza msiseme sikuwaambia.