Makonda akili hana ni zero galasha kabisa , nani afanye utalii kuangalia msikiti Arusha,waislam mwambieni aache ujinga ,anawatumia waislam kupata umaarufu kwa wajinga wenzake
Nimefanya research hizo meter kwa China bei yake ni ya dola 10$-17$ ila TANESCO walilipa tenda kimoja kwa dollar 38,nashangaa kwanini hawaweki production line Tanzania maana mahitaji mamilioni kila mwaka, hii ni fursa kwa watanzania pia na watu waruhusiwe kununua hizi meter kwenye open market...
Hivyo vidude ni very cheap kuvitengeneza, I hope TANESCO wanavitengeneza wenyewe, lakini akili na tabia zao za ufisadi kama CCM utakuta ni tenda ya mabilioni kwa muhindi na 10% zao
warusi weusi wa jamii forums walituambia mwezi mmoja Ukraine inakuwa jimbo la urusi, mwaka wa nne sasa na Ukraine anapiga mpaka Moscow, nchi ina mgawo wa mafuta maana nusu ya refineries zimelipuliwa na drones za Ukraine,na warusi zaidi ya laki tano wamepoteza maisha, na ujinga wote wa Trump...
Kupambania kazi za serikali au vyeo ni dalili ya njaa na umaskini,makabila kama wakinga na wachaga wanajua private sector ni kubwa na fursa kubwa sana kuliko serikalini
Una ufala sana wewe ,unaanzisha uzi kumlamu kwa kutokuoa na kufa kwa umeme? hata wewe unaweza kuoa lakini usipate watoto na ukafa kwa umeme pia, you judging him too harshly acha ujinga you’re not immune either
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.