Recent content by Matatika

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mr Zumo-usiku usiingie

    Tupieni hilo jisongi basi wakuu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nafazi za kazi NMB!

    ngoja tujaribu, isije ikawa kama TRA pale diamond jubilee
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mr Zumo-usiku usiingie

    Habari wandugu. tafadhali mwenye wimbo wa mr zumo unaitwa usiku usiingie naomba autupie hapa jamvini au anipe link nidownload.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Usaili magereza

    c ndo hapo aise, maisha ya kitaa magumu, mambo hayanyooki yaan duuh!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Usaili magereza

    Habari wana jf. naomba kuuliza mwenye update juu ya usaili jeshi la magereza kwa post zilizotangazwa septemba mwaka huu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Kwa iyo wakuu hao wa magereza wanaanza na TGSD 1, ama nn.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Viwango vya mshahara nimeviona lakini sijajua wale wa magereza wako upande gani. uwezekano wa kupata upo wakuu mie nilitaka kujua mshiko wao kwanza.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Habari wana jf. naomba kujuzwa kwa anaejua ngazi za mishahara kwa maaskari magereza kuanzia mwenye elimu ya darasa la saba mpaka chuo kikuu. kama huna coments tulia kimya, sihitaji matusi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hatimae uhamiaji yametimia

    aise mkuu cheki mkaguzi msaidizi kama wametoa majina.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Usaili Uhamiaji na Interview ya TANROADS

    umeona ee #wyt chris, 2natiana presha tu hapa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa kuhusu watu walioitwa kwenye usahili-idara ya uhamiaji.

    Taarifa ya 2012 hiyo, kuweni makini msije mkazimia.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Updates: Tanzania Postal Bank

    Ndugu zao tpb ndo wanaitwa. ama nn?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Usaili Uhamiaji na Interview ya TANROADS

    Mbona tunatiana presha jamani? kwa nn mnatuletea thread za 2013?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa kuhusu watu walioitwa kwenye usahili-idara ya uhamiaji.

    Bado aise, naskia mpaka june.
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimgaya shida! wehehe mpo?

    Hapana wahehe hawako sawa na wakurya.
Back
Top Bottom