Matokeo ya Usaili Uhamiaji na Interview ya TANROADS

Matokeo ya Usaili Uhamiaji na Interview ya TANROADS

Kwa wale walioomba nafasi za kazi Uhamiaji ktk vitengo vya Koplo na Konstebo majina yametoka..waweza tazama jina lako #www .immigration.go.tz....Pia kwa walioomba nafasi TANROADS zilizotangazwa 5/May/13 majina yametoka....Weighbridge Operators nafasi 6 wameitwa watu 266 wakati Office attendants nafasi 2 wameitwa watu 124...usaili wa kuandika 08/07 wa kuongea 09/07 na Attendants 10/07 kuandika na kuongea 11/07,Venue:VETA-Tanga at 0900hrs....heri kwa wote!...(ila mhmhmh 266:6)
Mbona tunatiana presha jamani? kwa nn mnatuletea thread za 2013?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom