Dodoma ni jiji linalokua kwakasi kubwa mno, dodoma Ndio jiji pekee Africa mashariki na kati litakalokua na barabara ya mzunguko ukiitoa South Africa.
Barabara ambayo utazunguka mkoa mzima wa dodoma na kusaidia shughuli za uwekezaji kukua kwa kasi ya ajabu,’ muda ni sasa wekeza dodoma wekeza...
Kaka me cjaoa ila kutokana na hali kama hyo haina haja ya kurisk kutafut mwanamk mwingin aje akulelee wanao, Sawa sikatai kwamb sio wanawak wote ndo wenatabia hizo ila tatizo linakuja Nani ndiye Nani siye sasa huon kwamb hyo ni risk. Nimewaza sana umemkuza mtoto toka miak 3 had 11, bila mama aje...
Hivi ww unaakil kwel ww mkapime ukwimw mtu ulivua kondom, kwanz umekuja kuomb ushaur au umekuja kulet simulizi,,,,,,,,, [emoji35] [emoji35] kujitambua kazi sana mkuu haya kil la khery
Thanks God......... Asubuh huwa napig mchanganyiko wang wa tikikiti, karoti moja na ndiz moja then mchana tahakikisha napiga dona la ujazo lisilo na mboga za mafuta nyingi may b kisamaki kimekaushwa hapo na kamchicha kidogo afu maji nayokunywa toka asubuh si mchezo, then usiku piga hata kawali...
Afu huyo dada na yeye anaambiwa vivo hvyo KAM BOYFRND ANAKUPEND KWEL BASI ATAKUTAFUTA cz anasema huko kwa mashost kwamb umeend NJE, afu huku wanakwambia Kam anakupnd bas atakutafuta... Matokeo yake nn???? Huhuhu huhuhu unaloliwaz wew ndio sahih asikwambie m2 hisia ooooh!!! Mpigie ngoma yako Ipe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.