Recent content by mataka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Janga la mafuriko Ziwa Victoria: Mbona Serikali iko kimya?

    [emoji3574][emoji3574][emoji3574]
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi

    atuombe radhi kabisa, labda wa juzi hakuikuta, eti anaiweka benjamin ya jana.
  3. M

    JamiiForums Tanzania MADA: Fahamu kuhusu matumizi au ulaji wa mafuta kwenye gari aina ya Toyota harrier 3.0L (2990CC)

    muuza ubuyu, kaka we hiyo imelamba sh. ngapi? nami najichanga nataka kitu cha harrier Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sababu tano(5) kwanini unapata pesa lakini huna maendeleo

    nimelipenda hili bandiko watu tunachafuana huko makazini kisa tu kwa nini fulani ana maendeleo mimi sina itakuwa tu mla rushwa mzuri,jamani maisha bila mipango ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ada ya Good Samaritan Dar es salaam

    nenda shuleni utapata jawabu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watangazaji Sam Mahela na Mzinga wa ITV jirekebisheni

    mi tayari nimeshaamia azam, wewe je unasubiri nini?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zari: Hakuna kilichonivutia kwa Diamond nilipomuona mara ya kwanza

    hakuvutiwa na mapenzi ila alivutiwa na mapenzi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Diamond anatumbuiza ufunguzi AFCON, vyombo vyetu vya habari kimyaa

    duu kwa hiyo vyombo vya habari vyote hawampendi daimond?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Pumu ya ngozi (Eczema dermatitis)

    pole sana ndugu, binti yangu alizaliwa na hilo tatizo ila kwa bahati alipona kabla hajafikisha mwaka, tulitumia dawa za hospitali na pia kuna mtu alinishauri nimpake mafuta ya ubuyu mpaka sasa ana miaka minne yupo ok. jaribu kuyatumia yanaweza kukusaidia
  10. M

    JamiiForums Tanzania Polisi waanza kuisoma namba ya Mh Rais!

    ndo wakome
  11. M

    JamiiForums Tanzania Neno la Jumapili: Usimkopehse ndugu au rafiki fedha

    ni kweli tupu mi mwenyewe niliwahi kuwakopesha ndugu wanne kwa muda tofauti sijaambulia hata mia na ninavyoandika hapa kuna mwingine kaniomba nimwazime laki, hapa napiga mahesabu ya kumpa tuu. HAWA WATU HAWALIPI DENI
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kufahamishwa kuhusu vidonge vya damu kwa mama mjamzito

    mpe hizo dawa zinasaidia mtoto asizaliwe na matatizo ya mgongo wazi na vichwa vikubwa. vina madini ya folic acid
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bongo Movies ndio zinazonikera zaidi kwenye usafiri wa mabasi

    wewe huna mke na wala hujazaliwa na mama. dont be too bias bila ya huyo mwenye IQ ndogo sidhani ungepata muda wa kuandika huo utumbo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Jay, mrudishe huyu mdada kwenye ramani

    aisee kweli wewa forodhani, mimi mwenyewe namkumbuka sana munira alikuwa mkali balaa ,vijanawa forodhani wamekuoa sana kwa macho sababu ilikuwa kama unakisu ndo utampata
  15. M

    JamiiForums Tanzania Bifu na timu zinawajenga wasanii

    ndugu kumbuka wao wanachoangalia ni jinsi gani wao watanufaikaila tatizo sisi mashabiki ndo tunahamishia kuwa za kweli
Back
Top Bottom