Recent content by Matabaka

  1. Matabaka

    JamiiForums Tanzania Sio mafuta tu yamefichwa, bidhaa nyingi zimefichwa

    Mbuzi Mama'ko Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
  2. Matabaka

    JamiiForums Tanzania Sio mafuta tu yamefichwa, bidhaa nyingi zimefichwa

    Tatizo sio kulipa kodi tatizo ni matumizi ya kodi zetu, mimi ni miongoni mwa wafanya biashara wakubwa hapa Dsm, niaapa naahidi kukwepa kodi, kwa hali na mali......hadi pale nitakapoona mabadiliko.
  3. Matabaka

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wabunge CCM wahoji mishahara itapanda lini ili kuwakwamua wananchi kiuchumi

    Mbona unasema kwakujumuisha......jiongelee wew na nafsi yako.
  4. Matabaka

    JamiiForums Tanzania Mikocheni, Dar: Wezi waiba duka la StarTimes baada ya mlinzi kulewa sambusa aliyokula

    Duh sambusa hiii hii ninayoifahamu au sambusa nyingine?
  5. Matabaka

    JamiiForums Tanzania Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

    Haaa haaa toka aingie amenyosha mafisadi wangapi?......
  6. Matabaka

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili nipate Access ya University offer kutoka Vodacom..?

    Niko chuo njoo PM tubonge
  7. Matabaka

    JamiiForums Tanzania President Magufuli, Ethiopia Diplomat, Ghana First Lady Win Africa Prestigious Awards

    Vijana wa Lumumba hpa huwezi kuwakosa[emoji23]
  8. Matabaka

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee kuwa macho sana na ujumbe uliouandika twitter

    Cha ajabu nini hpo? Au ww unakajua hako kajibwa?
  9. Matabaka

    JamiiForums Tanzania Vijana tuepuke sana kutumika na wasiolitakia mema Taifa hili

    Acha kutufundisha uwoga.....mimi binafsi sikubali na sitokubali hofu initawale na kuamua mustakabari wa maisha yangu.
  10. Matabaka

    JamiiForums Tanzania Lema athibitishwa kuwa mfalme wa Arusha leo mbele ya Rais Magufuli hadi Gambo kaona aibu kumtambulisha

    Wew kama unaona kitu kikubwa si uanzishe uzi?
  11. Matabaka

    JamiiForums Tanzania Uwongo unanitesa je nifanyeje niipuke aibu hii?

    Isitoshe pengine hata ulichoandika hpo ni uongo mtupu[emoji23]
  12. Matabaka

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa CHADEMA na Maaskofu

    Hapa kazi tu..... kazi gani? Kwa namna gani kwani kabla ya awamu hii ya 5 tulikua hatufanyi kazi?......kuhusu suala la mauaji usitumie yale yaliyotokea sehemu nyingine kuhalalisha huu udhalimu mnaoufanya....Ova
  13. Matabaka

    JamiiForums Tanzania Profesa Mussa Assad ameomba radhi wananchi na Serikali juu ya taarifa ya deni la taifa

    Tufanye tu hatuna deni kama vip
Back
Top Bottom