Tujuze zaidi mkuu....Mbona ipo app ya kujisajili unatuma picha ya kitambulisho chako then wao wata confirm
Tuma namba nikusaidie. Lakini jitahidi uwe na jinsia ya KE ndo msaada utapendeza zaidi. Mfae akufaaeLabda unisaidie bure
Bonyeza *149*42* utapata universty offer mm ndio natumia ivyo nina laini ya kawaida tuWakuu nifanyaje nami nipate kujiunga na uni offa ya voda *149*02#?
Sina laini ya chuo lakini, hua nanua salio kupitia M-Pesa najiunga fresh lakini naletewa ujumbe kua "Your Transaction is Cancelled"
Dear Jf members please help me What to do & How to do..!
Kolomije unakujua?Mkuu koromije kuna vyuo mfano SAUT,T.I.A,CBE so ofa ipo ukiwa mwanachuo ukaungwa na hii ofa hata ukienda vijijin unaipata tu
Samahani mkuuMm Me mkuu
kwa mpesa au unalipa kwa salio la kawaida?Bonyeza *149*42* utapata universty offer mm ndio natumia ivyo nina laini ya kawaida tu
We noma. Madrasa ipo eneo la chuo kikuu kipiJamani mm ni mwanafunzi wa madrasa hua tunaiita chuo. So nami ni mwanachuo cha madrasa
Kolomije unakujua?
Hee nawe wasoma Chuo?
Nisaidie kujiunga kifurushi cha chuo numby
Mkuu jaribu na mara nyingi zaidi kuna muda itakubali tu na utaweza kujiunga hicho kifurushi cha chuo.Wakuu nifanyaje nami nipate kujiunga na uni offa ya voda *149*02#?
Sina laini ya chuo lakini, hua nanua salio kupitia M-Pesa najiunga fresh lakini naletewa ujumbe kua "Your Transaction is Cancelled"
Dear Jf members please help me What to do & How to do..!
😀Ila mkuu acha jokes miaka yote upo humu ulikua unajua mm Ke?