Recent content by MaT2B

  1. MaT2B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bilioni 1.5 kwa kwa uzuri gani tamu uliyonayo? Hovyo kabisa Wewe Dada

    Hizo ni mbinu za biashara. Anafanya hivyo ili kuwavutia wateja. Kuna watu wanahela watataka kuikodi wachunguze kuna nini ndani.
  2. MaT2B

    JamiiForums Tanzania Kuna mahala wanuuza samsung A17 4gb ram/128gb kwa 380,000 wengine wanauza 500,000. Hii inaweza kuwa sababu ni nini haswa kimkakati na kimjini mjini?

    Galaxy A16 wanauza bei gan hapo bongo.? Nimeona sehemu wanasema ni 700K ni sahihi?
  3. MaT2B

    JamiiForums Tanzania Hongera serikali ya Zambia kwa kujali Wananchi wenu, kwenye Bei ya Mafuta mmeupiga mwingi

    Denmark, Costa Rica, Amernia l, England. Hivi hawa kwenye katiba zao hawajatamka
  4. MaT2B

    JamiiForums Tanzania Angalieni hii ramani ya nyumba alafu mnishauri kitu

    SM 150. Wakati mimi naambiwa sm 400 ni ndogo.
  5. MaT2B

    JamiiForums Tanzania Galilaya kwa Sasa ndio mji Gani?

    Kinachosababisha majina kubadilika ni Tawala. UTawala unapokuja mpya mara nyingi wanabadili majina na kuleta mapya kulingana na tamaduni zao.
  6. MaT2B

    JamiiForums Tanzania Galilaya kwa Sasa ndio mji Gani?

    Google on map the sea of galilie, Utaona miji ya zaman kama Tiberias, karpenaumu, nazareth.
  7. MaT2B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kuingia kwenye mahusiano na binti mwenye mimba

    Mwanaume unaweka vi emoji vya ajabu ajabu hiko ni tatizo kubwa kuliko mimba ya huyo mwanamke.
  8. MaT2B

    JamiiForums Tanzania Kuteuliwa kwa Jaji Mkuu Mstaafu Prof. Ibrahim H. Juma kunaacha maswali mengi kwenye mhimili wa Mahakama!

    Mihimili yote mitatu iko chini ya Rais kama Mkuu wa Nchi. Kwa ki-anglais ni Head of State. Watunzi wa Katiba walisema mihimil mitatu Kwangu mimi naona mihimili ni mmoja wenye matawi matatu.
  9. MaT2B

    JamiiForums Tanzania Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

    "Too much love will kill you"
  10. MaT2B

    JamiiForums Tanzania Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

    Hayo maji una ya treat.
  11. MaT2B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

    Achana na nae. KWa huo moyo wako huu ndio ushauri mzuri.
  12. MaT2B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wapi patanifaa

    Eti mtaji wa kati. Kwnn usiseme mtaji mdogo. Unataka kuuza
  13. MaT2B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

    KAtiba ya wap hiyo. Mkapa,, kikwete, Jpm
  14. MaT2B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

    Hata mimi nishawaza, hivyo hizi ni propaganda.
  15. MaT2B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Peter Kimaro atinga na gari la milioni 400 kuchukua fomu ya Ubunge jimbo la Hai

    Wajumbe wanachekelea tuu.
Back
Top Bottom