Kuna mahala wanuuza samsung A17 4gb ram/128gb kwa 380,000 wengine wanauza 500,000. Hii inaweza kuwa sababu ni nini haswa kimkakati na kimjini mjini?

Kuna mahala wanuuza samsung A17 4gb ram/128gb kwa 380,000 wengine wanauza 500,000. Hii inaweza kuwa sababu ni nini haswa kimkakati na kimjini mjini?

bei ya jumla
IMG_9386.jpeg
 
A17 zipo matoleo mawili , kuna A17 4g ina mediatek processor, na kuna A17 5g ina exynos processor.
Hiyo 4g _380,000/=
Hiyo 5g ni -500,000/= to 520,000/=
Adapter 20 watts super fast charging - 45,000/=.
5g hazipatikani kwa wingi, nilihangaika sana.
 
Back
Top Bottom