Recent content by Mat2007

  1. Mat2007

    IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Mkuu huo ndo uwazi unavokuwa,kila kitu wazi ili wananchi waelewe kinachoendelea.
  2. Mat2007

    Kwa uandishi huu hata hoja ya kufoji vyeti inapata mashiko

    Na wewe pia umezingua,sio MUCOBs kama ulivoandika,sahihi ni MUCCOBs!hahahaha
  3. Mat2007

    Unasubiri mwaka mpya wapi na Uko Bia ya Ngapi!?

    Ndio mkuu Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
  4. Mat2007

    Unasubiri mwaka mpya wapi na Uko Bia ya Ngapi!?

    Toroka uje ya Kimara, nipo bia ya 5 kitu ndovu ya baridiiii
  5. Mat2007

    Sheria ya kuwakata 15% wadaiwa bodi ya mikopo elimu yasainiwa

    Kama ni kweli mkuu hiyo kitu imesainiwa na mkulu ni shidaa maana hali ni mbaya mtaani hakuna hela halafu asilimia zinaongezeka.
  6. Mat2007

    Kwenu viongozi wa kike serikalini ambao ni Waislamu

    Umenena ipasavyo,safi sana mkuu!
  7. Mat2007

    Kwenu viongozi wa kike serikalini ambao ni Waislamu

    Mambo ya serikali hayana udini banaa,embu acha hizo mambo mtoa mada.
  8. Mat2007

    Wizkid amtolea uvivu shabiki wa Tanzania aliemtukana

    Upo sahihi mkuu,mimi wew na prezdaa hatujahusika kwenye hilo tusi bali linamhusu huyo huyo aliyeanza kumtusi Wizkid.
  9. Mat2007

    Nimekuta akaunti yangu ina nyongeza ya kufuru la fedha

    Hapo kuna watu wanatakatisha hela,wew tulia tu.
  10. Mat2007

    Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma

    Ikiwa hivo mambo safi sanaa,walimu ni watu muhimu sana waache waongezewa tu mishahara yao.
  11. Mat2007

    Wanawake kuomba hela wanaume wasio na uhusiano nao

    Hahahaha kamsemee kwa mume wake
  12. Mat2007

    Naumia sana moyo kwa nayosikia mchezo mpenzi wangu anaofanya

    Piga chini huo ukuta then fanya yako.
  13. Mat2007

    Halima Mdee: Hali ya uchumi ni mbaya, maongezeko ya mapato ya TRA ni 'fake'

    Atoe yeye hizo takwimu kama tra wanakusanya mapato hewa la sivyo na yeye amezungumza hewa.
Back
Top Bottom