Umepumua sasa! Basi tulia! Elewa kwamba, Wengi tunatambua kwamba hao uliowataja ni baadhi tu ya wawakililishi wa watanzania wanao inyima usingizi serikali hii dhaifu , Haiwapendi, haiwataki, lakini haina namna. Makinda hawataki, hawapendi lakini hana namna! wewe hauwapendi, hauwataki, lakini...