Kwani Monduli ndo Ccm?wao waende sababu.1. Wanahama kwa sababu alibeba richmond na akawapelekea mgao wao! 2.waliohama ndo walewale waliopata ya mabiiloni ya wafanyabiashara kwa hiyo sio ajabu kwa wao kuhama.Lakini angalizo hao ndo wanaenda kuiua Ukawa.
Nkobe
Hizo ni sababu mfu na hiyo inamaanisha ubinafsi wao na kwa namna nyingine inaonesha kwamba hayo ni baadhi matumizi ya ile sh.bil.50 za mkopo wa wafadhili.Kwa hiyo sio ajabu kuona hivyo.
Dotto Mnzava
Mhhh....wala huyo hatusumbui make ameshagundua kwamba uadilifu wake ni mbaya sasa kwa Magufuri hilo hukumu yake ni kuweka busara mbali na hivyo hata nyie wapokeaji kuweni makini,muwekeeni majasusi make anaweza umiza nyie siku sio nyingi,
Sisi tunachosema,huyo ndo wa kwetu kwa sasa ikulu make tumesha msoma tangu ktk wizara alizopitia na usimamizi wake na maamuzi yake kwani tulisha yaona. Kwa upande wa ukawa hatuoni nini anafaa kuigwa.
1.Lipumba kafanya nini kwao?je,anakubarika kwao, hata kama sio taifa alishawahi kufanya nin...
Kumekua na malumbano mengi ndani ya umoja wa vyama vinavyounda UKAWA katika uteuzi wa mpeperusha bendera wao katika uchaguzi mkuu ujao, mbaya zaidi malumbano yote huwahusisha viongozi wao wakuu pale ambapo viongozi hao kua na tabia yao ya kutaka wao ndo wawe wateule kuwa wagombea urais.
Swali...
Kwani unategemea slaa katufanyia nini tangu akiwa mbunge jimboni kwake tangu akiwa mbunge? Na yaani wale ndo mitungi ya rombo kabisaaaaaaaa......, sasa kama slaa akiwa na lipumba waziri mkuu si ndo tutakua watanzania wote kama Rombo?
jameni ndugu zangu punguzeni matusi na maneno yasiyo ya busara kweye social networks kwani tunaozipiria ni wengi na tuna itikadi tofauti. Mi nasema tuwambe vingozi wa ukawa wasilumbane il watoe mgombea wao bila malumbano na pia watoe mtu atakae kubalika ili apambane na magufuli. Sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.