Ulinzi wa Dr. John P Magufuli na ziara za nje ya nchi

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
5,784
7,745
Jina lenyewe lasadifu, kufuli linalinda banks, nyumbani, nyeti za me na ke, ni kitu muhimu

Najaribu kutathimini ulinzi huu utagharimu kiasi gani hadi hapo uchaguzi utakapofanyika.

Nimuonavyo Daktari anayewajibika na kwenda sambamba na sera za maendeleo ya nchi, endapo akiwa Rais je ziara zake zitabadili mambo gani Tanzania?

Mwenye tathimini atujuze.
 
Hivi ww bado unatarajia kupata jipya gani kupitia ccm.mapema hivo mmeanza kufikiria kuombaomba kabla hata ya kuwa rais.
 
Nani kakwambia anaenda kufanya ziara? Yeye kazi ni mpja tu! Kulima barabara tu!mda wa ziara ndo huu unapita sas na kwa taarifa ndo umeisha.
 
Hivi akikosa huo ulinzi si basi? Atajisikia vibaya kweli. Bora angeukataa hadi awe rais.Na gharama twalipa sisi tusio wafuasi wa magamba.
 
Magufuli ni kama kiporo cha ugali na maharage ..hakuna kitu hapo
 
Usalama wa taifa una staff wengi sana wasio na kazi maalum na magari yanayozurura bila wakubwa kuwa nayo au misafara rasmi,hivyo gharama za serikali will remain Fixed
 
Back
Top Bottom