kuanzia kwako wewe mwenyewe ni janga la taifa kama ulivyomalizia hoja yako! CHADEMA co sehemu ya kujengea majungu ili upate mkate wako wa ck! Punguzen maada za kijinga kama hzi basi dah!
Wana arumeru mashariki bila shaka mwajitambua vzur>ni wakat mwingne mnaletewa mbiv na mbich mchague moja(Watukuza rushwa na watukuza haki) kaz kwenu CDM ipo kwa ajil yenu/yetu sote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.