Duu!hii inshu imenikumbusha mbali kuna familia moja ilihitaji kujenga nyumba nzri kati yao kuna mojawpo akawa anauwezo mzr wa kipato akachukua jukumu la kuijenga ile nyumba ikapendeza sana na kuwa kivutio pale kijijini kwao,Mda ulipita jmaa akarudi na kuanza kuibomoa ile nyumba wanafamilia...
Lukosi kwani wee posho yako iko tafauti nale vijana wapale mtaa wa lumumba ile buku 7 maana kazi unayofanya ni kama kubwa sana.ujue unapopambana na cdm ujue unapambana na wananchi
ni kweli ajali hiyo imetokea na watu wamejeruhiwa akiwamo na mwandishi wa habari aitwae soro ni rasi nae pia yupo mwambani hospital akiendelea kupata matibabu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.