Recent content by Masterplan

  1. Masterplan

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Mwenye uzi amepotea sana yupo kweli ?
  2. Masterplan

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Mwenye huu uzi kapotea sana . Sijaona comment yake mwaka unaisha.
  3. Masterplan

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sawa mkuu
  4. Masterplan

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sawa mkuu
  5. Masterplan

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tushauriane hapo
  6. Masterplan

    JamiiForums Tanzania IRA AUTO SERVICE Ltd: Tunatoa huduma za kutengeneza magari aina zote, ushauri na tunauza vifaa pia

    Nipo maeneo ya huku kwenye ofisi zenu kwa hiyo nitapita hapo nione huduma zenu.
  7. Masterplan

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mtu analazimika kulipa 150,000 kwa wiki ili kufanya internship Kitengo cha Moyo cha Jakaya Kikwete (JKCI)?

    Hata kama sijui ila hiyo haiwezekani labda kama ni wizi. Au aseme ya nini hiyo.
  8. Masterplan

    JamiiForums Tanzania Where are these doses going?

    Jiwe alikataa sisi kuwa Dampo Lao, ila ndio hivyo ukifanya hayo utaonekana hufai.
  9. Masterplan

    JamiiForums Tanzania Mnaonaje ikatumiwa mbinu hii kuongeza siku za kuishi duniani

    Issue ni kuwa mwili utabaki nao hivyo? au labda ungeniambia tutafute namna ya kutokuzeeka ambayo ni kushughulika na Cell
  10. Masterplan

    JamiiForums Tanzania Dar: Panya Road wajeruhi 19, Mtongani - Kunduchi

    Naona Hawa Panya Road ni Vyema Serikali pamoja na wananchi wake washirikiane kwa pamoja kuwadhibiti, yaani wakiwapata ni Vyema wapigwe mashine/Gun wafe kabisa ili wasilete vizazi vya hovyo huku mtaani, Mda mwingine inatakiwa kuleta maamuzi magum ili mambo yakae kwenye mstari. Plan ya kuwadhibiti...
  11. Masterplan

    JamiiForums Tanzania Posts nyingi za kipuuzi za vijana wa Tanzania hasa Twitter zinaeleza tuna kizazi cha namna gani

    Nadhani ni Mda wa kuanza kuleta Solution Ya namna ya kutatua changamoto hii, Ambayo inaoneka kwa Sasa ni tatizo kubwa, ili tuweze kuwa na Taifa lenye mawazo ya kujenga zaidi kuliko kushinda mitandaoni siku nzima bila ya kuingiza kitu cha maana.
  12. Masterplan

    JamiiForums Tanzania Neno uliloambiwa na unalikumbuka hadi leo na linakusaidia

    "Hela inatafutwa" Nilipokuwa chuo napokea boom na bado nikiishiwa naomba home sasa Aunt yangu akaniambia usione watu Wana hela tu ila hela inatafutwa, maana kwa kweli yupo vizur kiuchumi basi ndio hivyo.. Sasa naishi nikijua hela inatafutwa. Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
  13. Masterplan

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata maji ya hill na Soda Pepsi kwa bei ya jumla

    Sawa mkuu Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
  14. Masterplan

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata maji ya hill na Soda Pepsi kwa bei ya jumla

    Ni Kweli maana sasa hivi hata soda za Pepsi zinakuwaga adim sana Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
  15. Masterplan

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata maji ya hill na Soda Pepsi kwa bei ya jumla

    Inawezekana ila kwenye maji hapo inakuaje mkuu Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom