Ni kweli mtu analazimika kulipa 150,000 kwa wiki ili kufanya internship Kitengo cha Moyo cha Jakaya Kikwete (JKCI)?

drilling

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
4,664
4,764
Naomba kuuliza kwa mtu anaejua kitengo cha moyo Jakaya Muhimbili kuna kijana katoka chuo kasomea mambo ya moyo anataka kufanya intership pale kaambiwa akikubaliwa kwa wiki alipe 1,50000 laki moja unusu kwa wiki.

Je, kuna yeyote anaejua zaidi akatueleza, maana ni pesa nyingi sana mtoto wa masikini hawezi kumudu hiyo bei.

Je, ni kweli bei hiyo au inakuwaje.
 
Intership maana yake ni nini? Ukipata jibu unganisha na kipengele c ha kutozwa 150,000 = na nini ukipata jibu unganisha chuo alichosoma + familia aliyo toka + jinsia yake wachache watakaonipata
 
Intership maana yake ni nini? Ukipata jibu unganisha na kipengele c ha kutozwa 150,000 = na nini ukipata jibu unganisha chuo alichosoma + familia aliyo toka + jinsia yake wachache watakaonipata

hatujakupata tufafanulie
 
Back
Top Bottom