mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 2,329
- 4,852
Kabla huja jadili hiyi mada tafuta uzi huu "bwawa la the three gorges la China lapunguza kasi ya mzunguko wa dunia" nimeshindwa kuu tag hapa kama ummeusoma karibu kwenye mada👇👇👇
Kutokana na masaa kwenda kwa haraka na siku kukimbia kwa kasi hatimaye miezi na miaka, basi binadamu hujikuta umri umekwenda, na haya yote yamechagizwa na dunia kuzunguka kwa kasi hakuna asiejua mzunguko wa dunia, ndio hubeba vipindi hivyo vyote.
Nini suluhisho nadhani wanasayansi wa kidunia wafikirie mbinu za kuweza kipunguza speed ya dunia
Kama wenzetu kule uchina walivyojenga lile bwawa la THE THREE GOrges na likasababisha dunia ipunguze speed kidogo kutokana na uzito wa maji yaliyokuwamo humo ndani ya bwawa
Mi nadhani hiyo ndio itakuwa mbinu rahisi ya kuongeza siku za kuishi
Kwa sababu leo hiyi tuchukulie siku ikaenda hadi nusu mwezi au mwezi mzima ni mambo mangapi utawafanya kupitia hiyo siku moja
Maana binadamu ujanja wake wote upo kwenye muda kwa kufanya hivyo ndani ya hiyo siku moja tutaigawa katika vipengele
Na binadamu atakuwa huru pasipo kuhofia miaka inaenda hakuna nilichofanya
Uzi tayari karibuni kwenye mjadala