Recent content by master gland

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtwara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Ndanda Cecil Mwambe wa CDM ameshinda yaani umepita msafara wake wakielekea Ndanda kutoka Halmashauri yaani ni full shangwe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtwara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Ametangazwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Masasi yaani ni full shangwe
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtwara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Wadau, Hapa Masasi ni raha tu , Cecil Mwambe wa Chadema jimbo ;la Ndanda (Masasi vijijini) amemshinda Mbunge CCM wa miaka kumi na tano mfululizo ,yaani Hapa ni raha Peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ratiba yangu oktiba 25

    Msiwe na hasira mkapata hasara ya kuharibu kura
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo Rasmi wa Majimbo kwa vyama vinavyounda UKAWA

    Wapi Segerea - Dar, Mtwara Mjini?
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilitaka kumuoa alikataa, anaomba kuja kuishi kwangu

    Wadau yaani mmenichekesha kinoma kwa kumrekebisha huyo dogo nadhani mtakuwa mmemuongezea ufahamu
  7. M

    JamiiForums Tanzania BAVICHA Waongeza Nguvu Mtwara

    Mkutano umepita salama watu nyomi kwelikweli
  8. M

    JamiiForums Tanzania BAVICHA Waongeza Nguvu Mtwara

    Makamanda wameshaingia Masasi mjini hapa, kesho saa 8 mchana wanapiga shoo eneo la uwanja wa fisi nyuma wa stendi kuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kufanya mkutano mkubwa Mtwara Mjini

    Ficha upumbavu wako, mbona mimi mngoni najiandaa na mkutano huo?propaganda za kitoto kama hizo mmeakia nazo magamba wachache tu kama wewe, faiz bwea,lizaboni na chooni(msalani)
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mhe Mbowe Kigeugeu wa siasa au ni Limbukeni wa siasa.

    Bavicha njooni huku B7FC wanaweweseka kwa kamanda wenu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serikali sitisheni ajira za walimu wa leseni(vodafasta) ni kero mashuleni

    We Rama inaonekana unachuki binafsi tu na hao walimu, kama unafuatilia trend ya performance tangu 2009 hadi sasa utaona ya kwamba kipindi walimu wa leseni wapo mashuleni ufaulu ulikuwa mkubwa ila sasa diploma na graduate kibao ufaulu unashuka.Jipange kivingine acha chuki binafsi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali sitisheni ajira za walimu wa leseni(vodafasta) ni kero mashuleni

    Chuki zako za kukosa vyeo usizilete hapa jamvini, walimu wa leseni wamezitoa mbali sana hizo shule za kata zaidi ya miaka 5 ya wewe kuwepo kwako kazini, acha majungu what is diploma or degree after all in Tz?Jiongeze, la sivyo utadharaulika jamvini kwa kudharua wenzako
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali sitisheni ajira za walimu wa leseni(vodafasta) ni kero mashuleni

    We Rama inaonekana unachuki binafsi tu na hao walimu, kama unafuatilia trend ya performance tangu 2009 hadi sasa utaona ya kwamba kipindi walimu wa leseni wapo mashuleni ufaulu ulikuwa mkubwa ila sasa diploma na graduate kibao ufaulu unashuka.Jipange kivingine acha chuki binafsi
  14. M

    JamiiForums Tanzania CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    Wadau, hivi kama wanamdahalo wangeamua kuwapuuza tu haya yote yangetokea wale waliamua tu kuwaprovoke ili mdahalo usitishwe next time wapuuzwe tu kama Jaji Warioba alivyokuwa anaomba waachwe tu jazba zisingetumika na wangejisikia vibaya na wangeshusha wenyewe tu mabango yao
  15. M

    JamiiForums Tanzania CCM yaiponza Ndanda FC

    Kosa kubwa walilolifanya magamba ni pale Hawa Ghasia alipojipendekeza awe mgeni rasmi siku na mechi ya Mgambo shooting akijifanya anakabidhi gari Wamakonde/WanaMtwara wengi walitojka uwanjani hata mpira haujaanza na Nanda FC ilichezea 3 -1.Hawa Ghasia hatakiwi hata kidogo Mtwara na...
Back
Top Bottom