CCM yaiponza Ndanda FC

CCM yaiponza Ndanda FC

Ni ndoto za kibavicha hizo zinazoambatana na moshi mkali wa bangi na gongo la mama mamka.
Mnajaribu kujitekenya halafu mnajishangaa mnavyocheka!!!!!
karibuni TUSKER bariiiiiiiiidiiiiiii nipo hapa bar ya mwana UKAWA anaitwa URIO na wala sioni husuda kumuunga mkono kwenye biashara yake.
Wapimbav...... hawatapewa nafasi katika siasa za taifa hili takatifu. Kama jinsi tuwafanyiavyo mbwa majumbani kwetu, nanyi mtatupiwa majimbo machache na mitaa michache kwenye chaguzi ili mtingishe mikia kwa furaha. Wakati huo sisi TUNAPETAAAAA

Ndoto??????? hebu eleza hawa hapa wanafanya nini kama sio kujikomba wakidhalilika watu wazima hovyo kabisa

attachment.php
 
Ndoto??????? hebu eleza hawa hapa wanafanya nini kama sio kujikomba wakidhalilika watu wazima hovyo kabisa

attachment.php
Mkuu , Hayati Balali
Nimecheka bado kidogo nimwage heineken yangu !
 
muulizeni marlaw yule aliyeimba pipipipipi baada ya kupigia debe ccm kapotea jamii noma mwambie liatonga aitishe mkutano hapati hata watu arobaini
 
nipo vizuri na jamii na ccm yangu sina dhiki kama za mtoa post

Kweli bwana uko vizuri! naona hapo unapata zako KIPUPWE cha MAGOGONI! hongera sana!
 
Attachments

  • 1414848647276.jpg
    1414848647276.jpg
    22.1 KB · Views: 138
Kosa kubwa walilolifanya magamba ni pale Hawa Ghasia alipojipendekeza awe mgeni rasmi siku na mechi ya Mgambo shooting akijifanya anakabidhi gari Wamakonde/WanaMtwara wengi walitojka uwanjani hata mpira haujaanza na Nanda FC ilichezea 3 -1.Hawa Ghasia hatakiwi hata kidogo Mtwara na akionekna anakuwa na ulinzi kama wa Rais wanaogopa watamgawana
 
MUNGU awalinde sana ndugu wananchi .
 
Ndanda Fc kabla ya kuja rasmi watu walikuwa hawajui kuwa kuna political affiliations humo ndan yake.

Its beyond ridiculous kwa ccm kuamin kwamba eti kwa kuja na gia hii ya kuasisi football club na kuifanya kama ngao yao basi kutawafanya wanamtwara kusahau machungu yao.

Ingekuwa wamefanya atleast jambo la maana kama wangeiasisi hiyo football club kisha wakaiacha bila kuiingilia.

Wanachofanya ccm ni kutapa tapa na kucheza POLITICAL PONOGRAOPHY.

Its a shame.

Ugomvi wetu sisi wamakonde na ccm ni mkubwa sana zaidi ya wanavyodhania.

Kwahiyo Mkuu THE BIG SHOW unahibtisha tetesi zangu?
 
Last edited by a moderator:
Hilo nililijua mapema sana , siku hizi mambo yamebadilika sana , ukitaka kuwa adui wa wananchi jiambatanishe na ccm ! Hali hii ndio iliua kabisa bendi ya TOT .

Hivi CCM hawakuweza kuwasomba mashabiki kwa malori?
 
Back
Top Bottom