CHADEMA kufanya mkutano mkubwa Mtwara Mjini

CHADEMA kufanya mkutano mkubwa Mtwara Mjini

Chadema nawatakia kila laheli na iishi maisha marefu
 
Chadema Mtwara wanajisumbua tu kwa kweli Kwani CUF ndio Maeneo yake na tayari mbunge kupitia CUF Bwana Uledi tayari ameshaonesha nia na huyu kijana ameshapita takribani vyama vyote isipokuwa ACT
 
Ntakuwepo uwanjani inshallah

Nami nitakuwepo kuweka sawa maana msije mkachakachua Picha na nitaeleza Ukweli kuhusu kinachoendelea, nitatokea maskani kwetu Pale Amisa Maeneo ya Bima.

Uledi mgombea wa UKAWA mwaka 2010 aliangukia Pua kwenye uchaguzi mkuu na kushindwa vibaya na mbunge wa sasa Hasnain Murji.

Akakata rufaa high court nako pia akagaragazwa vibaya sana na kuamriwa kulipa gharama zote kwa Murji jambo ambalo hadi leo hajalipa na akaenda kwa Murji kumlilia sana ili wamalizane na wakakubaliana mambo flan ambayo kamwe siwezi kuweka wazi!

Mnyika njoo mtwara Lakini kwa Murji unajisumbua huo ndio ukweli Hata wewe mwenyewe wajua hilo
 
Mtwara Mjini ni Murji hata watoto waliopo matumboni wanajua hilo hakuna ubishi.

Nakushauri sana ukafanye mikutano kule Salasala na Kinzudi maana ahadi Ya Maji na barabara ndio Mfupa uliokushinda Kabisa Mnyika.
 
Mtwara Mjini ni Murji hata watoto waliopo matumboni wanajua hilo hakuna ubishi.

Nakushauri sana ukafanye mikutano kule Salasala na Kinzudi maana ahadi Ya Maji na barabara ndio Mfupa uliokushinda Kabisa Mnyika.
Hakuna aliyejua kana Dialo, Masha wangebwagwa 2010. Murji unayemsema watu tunayajua madhaifu yake mengi sana. Ngoja tuanze kumfungulia bomba uone. Lakini ingekuwa Murji Mtwara Mjini ndio kila kitu CCM wasingepata mitaa 53 pekee kati ya 111 pamoja na Murji kutumia zaidi ya milioni 59 kwenye uchaguzi ule wa SM.
 
Mtwara Mjini ni Murji hata watoto waliopo matumboni wanajua hilo hakuna ubishi.

Nakushauri sana ukafanye mikutano kule Salasala na Kinzudi maana ahadi Ya Maji na barabara ndio Mfupa uliokushinda Kabisa Mnyika.
Hili jukwaa kwa sasa linaharibiwa na watu wasiofikiri Ukawa wamechukua mitaa na kuongoza mitaa Murji alikuwa wapi hospitali kutolewa busha
 
Wanajamvi CHADEMA kinatarajia kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Mashujaa Mtwara Mjini. Mkutano huo utafanyika tarehe 12 - 04 - 2015 kuanzia saa nane (8:00) kamili mchana. Mkutano huo utahutubiwa na Viongozi wa Kitaifa wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Tanganyika Mh. John John Mnyika. Wanachama na wapenzi wa maeneo ya Mikoa ya Lindi na Mtwara mnakaribishwa sana.


Sasa mnakuja huku kufanya nin??

Kwani huku kuna WACHAGA??

MSIJISUMBUE NENDENI KWINGINE.

WAMAKONDE NA WACHAGA WAPI NA WAPI.
 
Hivi Mtwara kuna wachaga kweli wakujaza mkutano wa Chadema.

Nauliza tu.
Ficha upumbavu wako, mbona mimi mngoni najiandaa na mkutano huo?propaganda za kitoto kama hizo mmeakia nazo magamba wachache tu kama wewe, faiz bwea,lizaboni na chooni(msalani)
 
Hivi Mtwara kuna wachaga kweli wakujaza mkutano wa Chadema.

Nauliza tu.

Kwani mbeya kuna wachaga? Vipi iringa mjini? Musoma je? Vipi Mpanda wanaishi wachaga? Nafikiri Mwanza nao ni mkoa wa wachaga eti bro? Tumia akili kufikiri siyo mi.t.ako
 
Nami nitakuwepo kuweka sawa maana msije mkachakachua Picha na nitaeleza Ukweli kuhusu kinachoendelea, nitatokea maskani kwetu Pale Amisa Maeneo ya Bima. Uledi mgombea wa UKAWA mwaka 2010 aliangukia Pua kwenye uchaguzi mkuu na kushindwa vibaya na mbunge wa sasa Hasnain Murji. Akakata rufaa high court nako pia akagaragazwa vibaya sana na kuamriwa kulipa gharama zote kwa Murji jambo ambalo hadi leo hajalipa na akaenda kwa Murji kumlilia sana ili wamalizane na wakakubaliana mambo flan ambayo kamwe siwezi kuweka wazi! Mnyika njoo mtwara Lakini kwa Murji unajisumbua huo ndio ukweli Hata wewe mwenyewe wajua hilo
Murji mchumba tu!
 
Bavicha TAWA hii ni nini? ni lini mtaacha kuropoka.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom