Recent content by Master Confessor

  1. Master Confessor

    Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Nimezaliwa ,may 15 herufi ya Kwanza la jina langu ni C je mimi ni nyota gan
  2. Master Confessor

    Kuitwa kwenye usaili jubilee insurance

    Ebwana enh!! Huwa ni shilingi ngapi ndugu
  3. Master Confessor

    Kuitwa kwenye usaili jubilee insurance

    Duu!! Na interview zao zinakwaje
  4. Master Confessor

    Kuitwa kwenye usaili jubilee insurance

    Habari za mda huu wakubwa. Natumaini ni wakheri wa afya, Mimi kijana mtanzania nina umri wa miaka 25, na elimu yangu ni stashahada kwa fani ya maendeleo jamii. Leo mchana nilipigiwa simu ya usaili kwa nafasi ya sales agent kwa kampuni ya bima jubilee insurance. Sasa ombi langu naomba kujuwa...
  5. Master Confessor

    Kwenu vijana wasomi, msikubali kutumika na RC Makonda

    Sijaona hoja hapo!! Nahisi umetumwa
  6. Master Confessor

    Msaada wa kimawazo: Nijenge au ninunue gari

    Hizo pesa mbona zinatosha sana kama gari nunua hata used ist,passo au rava4 ambazo azitumii mafuta hapa town kwa millions 7 au nane unapata tu nzuri ya kuzugia na iliyobaki nunua tofali ,mchanga na pesa ya Fundi kama kianzio cha kujenga msingi mpaka kozi ya juu haiwezi kuzidi million sita. KISHA...
  7. Master Confessor

    Katibu Tarafa, Utendaji wa Kata, Afisa maendeleo hizi kazi zimeishia wapi?

    Teyar zmetoka tazama kweny website ya serikali
  8. Master Confessor

    Tunao tarajia kwenda JKT tukutane hapa tupeane ujuzi

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] shukran mkuu
  9. Master Confessor

    Tunao tarajia kwenda JKT tukutane hapa tupeane ujuzi

    Yap mkuu lakin nazani nimeeleweka!! Nimemaliza std seven 2007, o level 2011, advance 2013, degree 2017
  10. Master Confessor

    Tunao tarajia kwenda JKT tukutane hapa tupeane ujuzi

    Kwanini mkuu mi mtanzania mkuu
  11. Master Confessor

    Tunao tarajia kwenda JKT tukutane hapa tupeane ujuzi

    Shukran mkuu ngoja tukapambane kuliko kusoma koment za kuvunjana moyo na nikafanikwa ntaleta mrejesho
  12. Master Confessor

    Tunao tarajia kwenda JKT tukutane hapa tupeane ujuzi

    Kiufupi mkuu vigezo walivyotoa ninavyo kama elimu ninayo,umri walivyo point ni mulemule tatzo ni referee sa cjui itawezakana kuchukuliwa?.
Back
Top Bottom