Recent content by Mastate

  1. Mastate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa ushoga na usagaji Tz nini chanzo?

    Usishangae hata humu ndani JF wapo pia
  2. Mastate

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

    utabakia hivyo hivyo kutoelewa unapopelekwa, msafara wa mamba na makenge kama nyie hamkosekani
  3. Mastate

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Kikao cha siri ofisini kwa DCI kiliamua Mbowe na Wenzake wapelekwe mahakamani Jumanne wanyimwe dhamana

    na litapita tu, maana hawataishi milele, ila wana hatari kubwa mbeleni, viongozi wanauwoga pia,wengine wanashindwa kukosoa wanaamua njia pekee ni kuvujisha siri tu, wengine hawapendi mambo ya serikalii basi tu wafanyeje na hali ndio imeshakuwa hivi, mpaka mtu unatamani kumuombea mabaya tu bwana...
  4. Mastate

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Kikao cha siri ofisini kwa DCI kiliamua Mbowe na Wenzake wapelekwe mahakamani Jumanne wanyimwe dhamana

    watanzania waliowengi ni watu wakusahau,sasa hivi wananyanyasika lakini ikifika kwenye kampeni sijui akili zao zinapumbazwa na nini mpaka wanasahau njia mbovu walizopitishwa,
  5. Mastate

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Kikao cha siri ofisini kwa DCI kiliamua Mbowe na Wenzake wapelekwe mahakamani Jumanne wanyimwe dhamana

    mimi nawaza tatizo ni katiba au, maana hata hii tulionayo inavunjwa!!! ningependa kazi kama Majaji,wakuu wa idara wawe wanagombe hizo nafasi na sio kuwekwa na mtu aliyepo madarakani, hivi unapewa nafasi na Mtu, eti kunauwezekano wakumkosoa kweli,haiwezekani, kila atakalotaka liwe hata kama ni...
  6. Mastate

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

    serikali inaona inawakomoa kumbe inawakomaza, shit hole
  7. Mastate

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Kikao cha siri ofisini kwa DCI kiliamua Mbowe na Wenzake wapelekwe mahakamani Jumanne wanyimwe dhamana

    hongera mkuu,nimecheki vizuri mtoa ndoto kumbe nini wewe, upo vizuri Mkuu,
  8. Mastate

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Kikao cha siri ofisini kwa DCI kiliamua Mbowe na Wenzake wapelekwe mahakamani Jumanne wanyimwe dhamana

    mimi ningependa pande zote mbili zikae na kukubaliana kurekebisha tofauti zao ambazo zitaleta furaha kwa watanzania wapenda Amani na maendeleo yakweli na sio hali hii tunayoina ya kukomoana
  9. Mastate

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Kikao cha siri ofisini kwa DCI kiliamua Mbowe na Wenzake wapelekwe mahakamani Jumanne wanyimwe dhamana

    kweli hii serikali kuna mazuri inafanya,lakini mabaya yakizidi yanafuka hata yale mazuri yenye kustahili kusifiwa
  10. Mastate

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Kikao cha siri ofisini kwa DCI kiliamua Mbowe na Wenzake wapelekwe mahakamani Jumanne wanyimwe dhamana

    huyo jamaa kweli mkali wandoto,hatimaye imetokea kweli,,dah.. Mungu ibariki Tanzania, lakini mbio za sakafuni hukomea ukingoni... serikali ya hovyo haijawahi kutokea.....
  11. Mastate

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy S9 na S9 Plus, Muonekano, Bei na Features mpya

    mwambie mkuu,
  12. Mastate

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku uuzaji pombe maduka ya rejareja mitaani

    Atakuwa ana wivu huyu
  13. Mastate

    JamiiForums Tanzania Waliosoma Iyunga Technical Mbeya

    Iyunga sitapasahau, Enzi hizo Azizi alikuwa Vice P, alikuwa na asili kama ya uarabu, nakumbuka siku moja lilitokea mtiti huko Msikitini alipigwa mikanda na Akina Kinyonga kisa kwenda disco loleza, Kinyonga alikuwa mwenyekiti wa Shaban Robert akavuliwa, Nawakumbuka akina Jackson HP wa 2002, mzee...
Back
Top Bottom