Recent content by massmedia50

  1. massmedia50

    Nani mkweli kati ya Zitto Kabwe vs Serikali sakata la trilioni 1.5?

    Nakupongeza sana mwa dishi wa makala hii binafsi ni meelewa sana pia nimekumbuka pindi tunapokua kwenye jamati ya fefha H/M kuliwai kutokea issue Kama hii tulielezwa na wataalamu hivyo bivyo. Wanasiasa shida yao Point 3 muhimu wamefikia nahali wanaforce king..
  2. massmedia50

    Joseph Selasin, Mbunge wa Rombo, anaandika

    Ungeanza kwa kumuuliza mbowe Billion 2.2 za chama zimetumikaje kama We ni mzalendo kweli.
  3. massmedia50

    Masha; The Presidency of the TLS-Why now?

    Wacha wataalum wachaguane wenyewe kwa wenyewe sisi ambao sio wataalum tusiingilie bali tushauri tu.
  4. massmedia50

    Rais Magufuli: Wasio na vyeti watatoroka wenyewe

    Naomba mh.Rais aishi maneni yake kwani ye ni msemakweli hivyo ni mpenzi wa Mungu.
  5. massmedia50

    Mwaka mmoja wa utendaji kazi wa baraza la madiwani Rombo chini ya CHADEMA

    HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO CHINI YA CHADEMA YAPAA KWA MAENDELEO YA KASI SANA... Wilaya ya Rombo ni miongoni mwa wilaya saba Za mkoa wa Kilimanjaro yaani wilaya ya Rombo, wilaya ya Mwanga, Same,Siha, Hai, Moshi mjini na Moshi vijijini. Upande wa Kaskazini Mashariki imepakana na nchi ya...
  6. massmedia50

    Tanzania ya kilimo

    Tanzania ndiyo nchi pekee duniani ambayo kilimo hufanyika vijijini lakini maonyesho ya nane nane hufanyika mijini tena mkoani na wanaotawala maonyesho hayo kwenye media ni viongozi wenye nyadhifa kubwa ambao sio wakulima. Think Big.
  7. massmedia50

    Mambo yatakayoigharimu CCM katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Longido

    Msgu yupi? Kule Geita upinzani umrshinda vitongoji 10 kati ya 15 watu niwaelewa sana upinzani utashinda hata watoe pesa ngapi.
  8. massmedia50

    Spika mama Anna Makinda akimbia Bunge

    Ccm na vibaraka wao wamegonga mwamba wasubiri kutupisha mwezi WA 10
  9. massmedia50

    Eng. Pamela Maasay: Siogopi kuvuliwa wadhifa huu

    Umempa ukwei huyu boga wa ccm ila sina mbavu kaka ummemchanachana hato suputu kujibu mapigo.. hongera sana kwa kumuweka abapo staili
  10. massmedia50

    Napata wasiwasi kwanini kila chaguzi ndio inaonekana CHADEMA ni watu wa fujo, Ugaidi?

    Umeongea ukweli mtupu............ wakitaka Upinzani ukae kimyaaaaaaa au usiwepo watekeleze ahadi zao pia wao kama serikali tawala hawajafanya lolote tofauti na kujenga barabara lakini issue zote muhimu ulizo taja hapo juu kwa wananchi bado hazijafanyiwa kazi ndio maana upinzani unawakummbusha...
  11. massmedia50

    CCM Tujifunze Maana ya Division Of Labour, Tubadilike Sasa!

    Sasa umekubali kua CCM ni mizigo iliyo shindikana hata kubebeka?hata maraika hawezi kuwahudumia binadamu kwa majukumu kama haya.....ningependa saaana ukili kua ziongozi CCM ni MIZIGO pia hata Raisi wako na washauri wake wameishiwa maarifa ya kupembua hoja kama ya kwako wanaongeza kutulundikia...
Back
Top Bottom