Spika mama Anna Makinda akimbia Bunge

Spika mama Anna Makinda akimbia Bunge

Tanzania ni zaidi ya unavyoijua ... Hii inatokea tuu kwa Tanzania
 
Tundu lissu,machari,mnyika,selasini,mkosamali,msigwa wahukumiwa na kamati ya maadili,haki na kinga ya bunge kutohidhuria vikao vilivyobaki

kuwaondoa hawa ni kutaka kupitisha sheria zao mbovu kwa manufaa yao
 
Wahuni wamethibitiwa na mambo yatakwenda safi....
 
Wabunge wa UKAWA tokeni ndanikwa nini muendelee kukaa ndani,waacheni waendelee na bunge la CCM
 
Wabunge wa UKAWA tokeni ndanikwa nini muendelee kukaa ndani,waacheni waendelee na bunge la CCM
Kweli kabisa maana miswada hiyo sasa haitajadiliwa bali itapitishwa kama ilivyo. Ukawa hawana haja ya kuendelea kuwa bungeni; warudi to July 9 kufunga!
 
ni kweli wabunge wa ukawa watoke waanze kujipanga kwa ajili ya oktoba, wataeleweka na kuheshimika, na hii move itakuwa credit sana kwao,dah serikali ya ccm inaendelea kuudhi
 
hao ndo mashujaa nawaombea hao ccm na spika wao Mungu awafanyie wanavyotufanyia
 
Wahuni wamethibitiwa na mambo yatakwenda safi....

Are you a Tanzanian or banyamulenge nasapot ccm ila si kwa uharo huu wa kuuza gesi yetu kwa wamarekanI. .. wachna na mafisadi wachache wanaoona mda wao wa madaraka ndio unaisha nasema no..no..no..no..ukawa kwa ili nawaunga mkono kwa asilimia 20% ...Tanzania kwanza mengne baadaye wanataka sera ya kuuza gesi miaka 999 stupiiid
 
Pamoja Sana
 
Wahuni wamethibitiwa na mambo yatakwenda safi....

Mkuu acha ushabiki wa vyama haulipi ktk hili, nadhani ingekuwa vyema uka hoji ni kwanini wapinzani wapinge na kwa nini miswada iwe ya dharura? Kumbukeni kuna reference mbovu kwenye madini!
 
Kwa hiyo Kamati ya haki ya bunge ina uwezo wa kuwaondolea wananchi haki ya kuwakilishwa na wabunge wao bungeni?
 
Back
Top Bottom