Eng. Pamela Maasay: Siogopi kuvuliwa wadhifa huu

Eng. Pamela Maasay: Siogopi kuvuliwa wadhifa huu

rasimu gani anayoisimamia? hivi kumbe.kuna mainjinia ambao akili zao hazina akili? si ajabu amepewa ofa ya kwenda kula raha na mwenyekiti dubai

Hivi wewe una umri gani? Nakushauri usome vitabu mbalimbali hata vya kiswahili akili yako ikue.
 
hivi unajua hata ulichoandika,,,,hebu jaribu kusoma tena kidogo basi ujiridhishe kama uko sahihi
Ukitaka kumjua mtu mjinga ni namna anavyojubu hoja. Na wajinga wengi huwa hawasomi au kusikiliza kwa makini na kuelewa bali hukurupuka na kujibu wasichokijua matokeo yake huwa wanakuwa kichekesho.
 
rasimu gani anayoisimamia? hivi kumbe.kuna mainjinia ambao akili zao hazina akili? si ajabu amepewa ofa ya kwenda kula raha na mwenyekiti dubai
Uh! I dont believe there is too much trafic of posts,comments or replies comming into JF to an extend that the forums moderators are unable to see and stop abusive language and attack of personalities.
NATOA RAI WANAOTUKANA WAFUNGIWE WASISHIRIKI HUMU.
LIVE AND LET LIVE FOR GODS SAKE!!!!
 
Profesa kuita wanaotaka serkalj tatu intarahamwe ni kujidhalilisha.pamoja na kwamba ameonesha kuwa ni profesa abracadabra kwa kutoa kauli mbili zinzokinzana kuhusu muundo wa muungano kama alivyo warioba.
 
JF hata kama watanzania hatufanani kimaoni,pia watu wasitukanwe kwa kuwa tu wanatofautiana na wanaodhani ni haki yao kila wasemacho kipokelewe.
MODERATOR ONA HILI NA ZUIA MATUSI YASITUFIKIE JUKWAANI
 
Kuna rasimu ngapi zilizopelekwa bungeni hata unauliza hivo? Unaonekana hujui kinachoendelea bungeni ndo maana unahusisha na safari za dubai!!
 
huyu pamela itakuwa ameahidiwa ubunge wa viti maalum

usiogope chochote we andika tu watakao kubishia ni wale wasiojuwa kuwa unatumia dawa za Mirembe! kwa sisi tunaokujuwa tunakupongeza kuwa afya yako ya akili inaimarika sasa!
vipi ile ishu yako ya mafuriko Mungu bado kanyamaza?
 
Unadhani huyo ni kama Vicky Kamata au Dokii? Huyo full engineer,hana njaa kama wewe dada!
 
Pamela ni mwanaharakati tosha tangu pale UDSM, ni kweli walikuwa pale kujadili rasimu ya katiba ya WArioba ambayo ndio ya wananchi lakini sasa wanawekewa rasimu ya katiba ya lumumba wapi na wapi
Ni mhandisi wa nini?
 
Vipi bro unatumia bange ya wapi? Nina ku pm basi unipe mchongo maana hiyo yako ya ukweli huku kwa weupe naweza iuza sana kwa maana bangi za huku mpaka uchome nusu gunia ndo angalau unapata ashiki, si ndo maana imeruhusiwa kuuzwa bila vikwazo. Ukinipa hiyo yako wiki tu watatangaza bangi ni haramu huku.


Umempa ukwei huyu boga wa ccm ila sina mbavu kaka ummemchanachana hato suputu kujibu mapigo.. hongera sana kwa kumuweka abapo staili
 
Akihutubia WanaDSM kiduchu waliohudhuria kufungwa maonesho ya miaka 50 ya Tz, PM alisema baada ya kuchambua maoni ya waliotaka serikali 3 wengi ni wananchi wa Kigoma. Nilimsikia kwa masikio yangu mwenyewe.
 
Anasimamia rasimu iliyowasilishwa na jaji Joseph Sinde Warioba, hiyo rasimu nyingine ya CCM watu wenye akili hawawezi kuijadili

Hakika...watakaojikita kuijadili rasimu mfu ya ccm ni lazima wawe punguwani, wanaofikiria kwa kutumia tumbo na wanaotegemea 'mwenye kauli' - ccm anawataka wasemeje! kama anataka waishangilie..wote watashangilia! cha kuthibitisha ni kuwa kila anayesimama anarudia yale yale aliyoongea aliyemtangulia..na kusema 'mie naungana na maoni ya wengi'...chorus....'mie naungana na maoni ya wengi'..., then anaongezea .''..hao UKAWA waliotoka nje....bla bla blaa.''..yaani ukisikiliza ni pumba tu...hakuna jipya! CCM imewanunua kwa vipande vya fedha....hadi maashofu wakuu na ma-sheikh wetu...hi yote ni laana kwa taifa na uzao wake kama wenye fikra hawataivunja nguvu hii ya giza!
 
Mwenyekiti wa jumuiya ya Wazazi Taifa anaropoka Bungeni anamjadili Warioba, Jussa na Lissu na sio Rasimu
 
Back
Top Bottom