Recent content by Massbizle

  1. Massbizle

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu husombwa kuhudhuria mikutano ya viongozi

    Mimi huwa najiuliza ni kwanini viongozi wakubwa wa serikali wanapofanya ziara mikoani watu wa wanaombwa kuhudhuria mikutano ya adhara? Na ni kweli wao hawajui watu waliohudhuria wameelewa badala ya wao kwenda kwa hiari yao. Kwanini watu wasihamasishwe waende wenyewe. Watu wale wale wanaombwa...
  2. Massbizle

    JamiiForums Tanzania Kwanini Eric Shigongo hatoi vitabu kama zamani?

    Yuko busy na Ubunge
  3. Massbizle

    JamiiForums Tanzania Tatizo kwenye Huawei Y5 Prime 2018

    Nikipigiwa simu ikiwa imelock screen inaweka giza siwezi kupokea wala kukata, simu itaita hadi ikatike ni unlock au nimpigie tena.
  4. Massbizle

    JamiiForums Tanzania TARIME: TARURA wamejitahidi kukarabati barabara kwa kiwango cha changarawe ila kero ni watu kuziharibu kwa kuweka matuta

    We unaijua Tarime au ukifika stand unaona Umeimaliza barabaza mitaani zote ni za kiwango cha changarawe( vumbi) Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
  5. Massbizle

    JamiiForums Tanzania TARIME: TARURA wamejitahidi kukarabati barabara kwa kiwango cha changarawe ila kero ni watu kuziharibu kwa kuweka matuta

    TARURA wamejitahidi kukarabati barabara kwa kiwango cha changarawe ila kero ni watu kuziharibu kwa kuweka matuta bila mpangilio maalum. Kila mtu anajiwekea kwake. Matuta haya yanatuharibia magari na pikipiki. TATURA msipodhibiti hakuna maana ya kilima barabara. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Massbizle

    JamiiForums Tanzania TARURA. Matuta katika barabara za Vumbi yanakera.

    TARURA wamefanya kazi nzuri kukarabati barabara za kiwango cha changarawe lakini wameshindwa kudhibiti watu wanaojiwekea matuta katika maeneo yao. Kila mtu anauwezo wa kiweka tuta sehemu yake kwa kisingizio cha vumbi au kusema wanadhibiti speed za magari na pikipiki. Huu ni uharibifu wa wazi wa...
  7. Massbizle

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NJOOO TARIME MJI NIJE BABATI MJINI KIBAHA MJINI HAI ni PM
  8. Massbizle

    JamiiForums Tanzania Kwa walimu waliopo kazini na kwa mtu yeyote atakayeguswa

    Wewe mwongo education science ukose mkopo mara mbili kuwa mkweli tu.
  9. Massbizle

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna chuo kinachotoa elimu ngazi ya PHD?

    Njooo Mwenge Catholic University -Moshi
  10. Massbizle

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Ni add 0768201374 kwenye grp la whatsapp nipate updates
  11. Massbizle

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    UKAWA tumaini letu
  12. Massbizle

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawaaaaa
  13. Massbizle

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Wassira Ulaya Imeleta Mafanikio, Avuta Kiwanda cha Matrekta Tanzania

    Kwani hayo matrekta aliyoomba atayagawa kwa wakulima bureeee.
  14. Massbizle

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Wassira Ulaya Imeleta Mafanikio, Avuta Kiwanda cha Matrekta Tanzania

    Nchi ya omba omba hii na marais mnaowaona ni wale wenyekujua kuomba.
  15. Massbizle

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga Mwenge Catholic University 2014/2015

    Majina yako web ya chuo
Back
Top Bottom