Maoni yako yanaakisi ukweli kwamba Tanzania ni nchi moja. Na kwamba pale ambapo eneo moja la Muungano linapokosa msemaji / mtetezi, basi msemaji / mtetezi anaweza akatoka upande wa pili, ili mradi utetezi huo uwe unalenga kuimarisha muungano wetu na sio kuufarakanisha!
Sidhani kama Zanzibar inazuiwa kukaribisha wawekezaji! Wala Wizara ya Utalii na Maliasili si ya Muungano na kwa namna hiyo, mapato yatokanayo na utalii Zanzibar si mapato ya Muungano! Tafuteni sababu nyingine! Siyo hii!
There are times when you need quick fix to matters that need to be in place urgently and which, if normal procedures will be applied, delays may cause harm to the nation. And these should not be taken as corruption, squander, embezzlement or the alike!
Very funny! Repressing variant views and yet here you do! Needing vibrant economy with capital from dirty money!
One question: how vagrant and integrity have we worked towards furnishing our country's economy that gives us moral authority to point an accusing finger to our government for...
If your assessment for true democracy is based on what you have analyzed, let it be bygone!
Democracy is not like a dress that fits or unfits. The African democracy has its own myths and ethics. It is a mistake to draw the line of conclusion from the comparison to the western democracy!
To many...
Sikuona alichoandika Mwigulu. Lakini niseme tu kwamba, mtumishi anaweza asiwe mwanachama wa chama cha siasa lakini akawa ana mahaba na mmoja ya vyama vya siasa au akawa ni mwanachama wa chama cha siasa lakini ikawa ni kinafiki!
Kwa mantiki hiyo suala la nani awe msimamizi wa uchaguzi kwa njia ya...
Sina uhakika na hoja za andiko hili lakini naamini kwamba:
1. Kusomea nje ya nchi kunaongeza nafasi ya kutafakari fursa / mambo;
2. Kusomea nje kunakukutanisha na watu wengine wenye mafanikio na hivyo kukuongezea hamasa/ matamanio;
3. Kusomea nje kunakuongezea kujiamini, nk.
Tembea uone mengi...
Prof Assad, alipaswa aachie ngazi kitambo baada ya kubaini kwamba bunge ni dhaifu. Au la, raisi alipaswa kufuta bunge kama kweli ni dhaifu! Kwa hakika sioni ni vipi Prof afanye kazi na bunge dhaifu ambalo haliwezi kufanyia kazi taarifa zake kwa tija na makusudio lengwa na kwa hali hiyo taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.