Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 66,989
- 173,612
Ndio iko hivyo yani, kwa elimu tu hatutakaa tufikie kiwango cha waasisi ambao ndio hao mabeberu. Kwetu elimu is more of a formality other than kuongeza maarifa. Mitaala haibadiliki iko vile vile tu sijui serikali inashindwaje ku explore kuwa wenzetu wako wapi kwa sasa nasi tuende nao sawa tumebaki kukumbatia vitu vilivyofundishwa miaka ya 70Nacte ndo wame yumba elimu ya zamani ilikua ni nzuri zaidi na zaidi zidi ya hii ya sasa! huo ni ukweli usio pingika darasa lanne wa zamani ange soma hadi chuo sijui ingekuaje.